Tukumbuke Kufanyia Service Vifaa Vyetu Vya Kazi!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Salam Za Dhati Kwenu Wadau!

Kutokana Na Kautafiti Ka Kunyunyiza Nilikokafanya, Nimegundua Wengi Wetu Hali Ya Vinu na Michi Yetu Hatuiwekei Bajeti Ya Maana Ili Kuifanya Ivutie.......
Hapa Namaanisha... Kama Ni Papuchi Au Dushe Liwekwe Katika Hali Nzuri , Lipaliliwe , Lipakwe Mafuta Mambo Mengine Kama Hayo..... Ilimradi Tu ,Pavutie Kama Sehem Zingine Za Mwili
Sio Papuchi/Dushe Linavikwa Rangi Za Ajabuajabu, Full Mpauko...Mifangasi Ndo Kwao
Jamani Hizi Sehem Ndizo Zinazotufanya Tukamilike Hata Kila Mmoja Akajiona Ana Nafasi Sawa Na Viumbe Wengine Katika Dunia Hii Ya Mola.

Samahani Kwa Kuwachosha....Ni Hayo Tu Kwa Sasa, Ahsanten!
 
bora umekumbusha maana kuna watu wamefikia wanafunga mabutu na wengine kusokota dred..
 
Asante kwa ushauri ,,,,,,,,, na ujue vuzi ni pambo la uchi!!!!!!!

kuna style yake ya kuzichonga ili ziwe mapambo
kwa kutumia maumbo mbalimbali kama umbo la treni , baiskeli na mengine yatakayokupendeza!!
 
Back
Top Bottom