Tukubaliane na hili

Ndio maana sitaki urafiki wa karibu na wasichana kwani wanaweza kukupenda mapema na kukuharibia uhusiano wako

Hahahahaa.... It's possible kama unampigia simu unamuuliza eti umekula? Mara umeamkaje, pole na kazi akiumwa upo karibu...utapendwa tu..japo sio mara zote inatokea
 
Hahahahaa.... It's possible kama unampigia simu unamuuliza eti umekula? Mara umeamkaje, pole na kazi akiumwa upo karibu...utapendwa tu..japo sio mara zote inatokea
Mie nishaamua sipigi simu kwa mtu kama sina cha maana kuongea, siwezi kukupigia au kutuma sms kukuuliza kama umelala, umekula. Zaidi utaambiwa usiku mwema
 
Hawa viumbe hawafundishwi wala kulazimishwa hii ni nature ya mwanamke kutongozwa,ebu waulize kama wapo ambao hawapendi kutongozwa,wanakesha kwa vigagula sababu hiyo chezea kutongozwa.
 
Ngoja nikaombe contacts na mimi nione kama atakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…