Tukiwekeza TAKUKURU kwa Wachina Kuna atakayepona Serikali ya JK na washirika wake akiwemo Hevy Kabwe

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Maoni yangu kama tukiwapa Wachina waiongoze Takukuru kwa Sheria zao Watafute wala Rushwa nadhani viongozi wote serikalini watakuwa ni Historia tu kwani Watanyongwa na kuzikwa Wachina hawataki kitu kiitwacho uwizi na Rushwa kwani ndio adui wa maendeleo Tizama China ilivyo baada ya Kuweka Sheia kali.


Sio Serikali yetu wanatamka kila siku no Rushwa No Rushwa lakini ukiwatizama Usoni utawaona hawa..... Ngeleja uso umejaa umevimba anaonekana kama mla mla adui wa haki! mkulu ndio hata hatujali ndege naombea iharibike angani. 02.gif 20070606-0000003133.jpg waislam-tz.jpg Mbunge Wa Viti Maalum.jpg
 
haha hakuna shaka mie kunyongwa sababu serikali yote ikinyongwa poa tu mk.we.re pia eeh! China wako Juu
 
Back
Top Bottom