TUKIO USILO LISAHAU MWAKA 2017

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
6,410
Reaction score
13,052
Habar wanajamvi? Poleni na mikikimikiki ya siku,wiki,mwez na mwaka kiujumla kama tunavyo fahamu hiv sasa tuko mwishon mwa mwaka. Tumepitia mengi mnamo mwaka 2017. But najua weng tunamatukio yalio tufurahisha na kutukera kiujumla. Bas kila mwenye kauli nzur au mbaya kwa mwaka 2017 atupie tuone
 
Tukio la kupigwa risasi 38 mh. Tundu Lissu liliniuma na kuniudhi sana mwaka huu lakini nimefurahi kuona na kusikia Mungu anazidi kumlinda na kumpa maisha marefu
 

Tukio la Chadema kupigwa goli 42 -1 hahahahaha...!
 
Wanajeshi 14 waliouwawa in the line of duty, Congo pamoja na mnada wa nyumba za Lugumi
 
Tukio la mjamaa mmoja mpumbavu mwenye tamaa kunifanya nihalalishe kishoka chake bila kujua kisha kusababisha kesi mpaka mahakamani.

Dah we jamaa kweli akili huna, pambana sasa huko mtaani mwenzio bado kazi ninayo.
 
Ajali ya lucky Vicent.. ilinisikitisha sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…