Tukio la Uzinduzi wa Bidhaa Mpya za Kampuni ya Apple.

Seawhale

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,162
1,166
Hatimaye siku mpya imewadia.

Leo tarehe 14-09-2021, kampuni ya Apple inatarajia kuzindua ama kutambulisha bidhaa mpya sokoni. Bidhaa hizo zinazotegemewa kuzinduliwa ni Apple iPhone 13, Apple watch 7, AirPods 3, iPad mini na bidhaa nyingine.



Tukio linategemewa kuanza saa 2 kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
 
Wewe pia unakimbizana na hizi flagship ya apple za kila mwaka?
Hapana ila jua tu tutafika mbinguni tumechoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema muundo wa simu unafanana sipo mbali na sina presha
 
Kuna mtu kwa sasa huko kawekwa mbuzi kagoma Next Week apate macho matatu hiyo sijui
 
Wako live sasa hivi kwenye page yao ya Youtube wakionesha uzinduzi huo live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…