Picha zipo wapi???Ila machimbo mwisho wa lami kuna vibaka wa kisenge sana acha tu wale madosoKuna watu wapatao wanne ambao inasemekana ni askari wa jwtz wanawapiga vijana 2 ambao inasemekana ni vibaka ambao walimwibia askari.
Vijana hawa wanapigwa na kufanyishwa mazoezi ya kuruka kichura, huku wakimwagiwa maji kiasi uhai wao upo hatarini.
Zoezi hilo linaendelea muda huu maeneo ya Machimbo Mwisho wa Lami (Jet).
Hajasema jinsia ya vibaka, siku hizi wadada ni wezi kuliko wanaume!Kwanini waibe..! Nikajua wananyanyaswa wadada..
Acha ujinga huenda ugomvi wa kuibiana malayaWaachee wafeee tyuu
Toa taarifa polisi acha ujinga, wakifa utajilaumu maisha yako yote au ita wananchi, askari hao sio mahakama, huenda ugomvi wa mapenziKuna watu wapatao wanne ambao inasemekana ni askari wa jwtz wanawapiga vijana 2 ambao inasemekana ni vibaka ambao walimwibia askari.
Vijana hawa wanapigwa na kufanyishwa mazoezi ya kuruka kichura, huku wakimwagiwa maji kiasi uhai wao upo hatarini.
Zoezi hilo linaendelea muda huu maeneo ya Machimbo Mwisho wa Lami (Jet).
nilivyoona tuu neno DOSO nikajua!Picha zipo wapi???Ila machimbo mwisho wa lami kuna vibaka wa kisenge sana acha tu wale madoso