Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Uungwana tu mkuu!Dah.... Kacheki *150*03#.....kaona haisomi 7m.... Jela si kitu ya mchezomchezo
Sijatishwa kwa lolote ndg bali ni uungwana tu kwa IGP.Hakuna haja ya kuomba msamaha kwa jambo ambalo liko dhahiri, au umetishwa?
Soma vizuri andiko langu,hapapo popote pale nilipotaja chama cha siasa ndg.Kwani ofisi yake huijui??,bosi wake humjui?? Kilichokukimbiza huku jf ninini??.unatuharibia chama chetu ccm majitu kama ninyi.Tafuteni ajira vijana hizo 7800/= per day zinawatoa ufahamu,wenzenu ccm damudamu lakini tuna kazi zetu ndo maana tunaongea ukweli kwa manufaa ya kizazi kijacho,wewe ni kama chief mangungo
Tukio hilo kutukia jirani kabisa na alipokuwa IGP ni AIBU kwa askari wa eneo husika.Ninao uhakika IGP hakufahamishwa hilo jambo kwa wakati na yeye IGP atakubaliana na mm alilifahamu jambo hilo baadae sana.
Elimu elimu ndugu,hao uliosema wameshindwa kazi ni wazembe,ni chombo cha dora ipi??rudi darasani brooSoma vizuri andiko langu,hapapo popote pale nilipotaja chama cha siasa ndg.
Ni msisitizo tu ndg maana wapo baadhi ya wachangiaji wallijikita ktk kuaminisha kwamba habari ile ni dhalilisho kwa IGP ndiyo maana nimeonelea niwe wazi hasa ni lipi lilikuwa shiko langu ktk ile habari.Mbona uliisema hii jana na ukaeleweka? kosa lako hukupayuka kuonesha kuna jambo baya linatokea ili ku-draw attention ya IGP na wafuasi wake
Sipo tayari kwa shali na ww ndg.Usiku mwema.Elimu elimu ndugu,hao uliosema wameshindwa kazi ni wazembe,ni chombo cha dora ipi??rudi darasani broo
UkasomeSipo tayari kwa shali na ww ndg.Usiku mwema.
yan we ndo mweupe kabisa!Kwani ofisi yake huijui??,bosi wake humjui?? Kilichokukimbiza huku jf ninini??.unatuharibia chama chetu ccm majitu kama ninyi.Tafuteni ajira vijana hizo 7800/= per day zinawatoa ufahamu,wenzenu ccm damudamu lakini tuna kazi zetu ndo maana tunaongea ukweli kwa manufaa ya kizazi kijacho,wewe ni kama chief mangungo
Kama nani vile??yan we ndo mweupe kabisa!
Jana uliandika kwamba aliuawa na si kujeruhiwa. Hata hivyo ni jambo jema kuomba samahani japo hapa sijaelewa kwa nini unaomba samahani kwa IGP. Ni kwa vile habari uliiongezea chumvi kwa kusema kijana ameuawa wakati alijeruhiwa tu, kumtaja IGP katika habari husika au kuandika ukweli pasipo kuuchuja?.