TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Msigwa haelewi maana ya mihimili mitatu? Basi kama kulikuwa na haja ya Mbunge kuandikiwa barua ya pole, si aliyepaswa kumwandikia na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na siyo rais? Msigwa alifikiri kwa sababu shule iliyopata msiba iko arusha basi akajua watoto wote ni wa arusha achilia mbali jimbo la arusha mjini, Msigwa ana taarifa kwamba watoto 25 wamesafirishwa kwenda mikoa mingine, je wabunge wa mikoa hiyo nao waandikiwe, barua?
Lema na wote waliohoji mnajua maana ya ITIFAKI KUZINGATIWA? Kwa kauli ya Lema kuwa yeye na Mayor wamebaguliwa wakati wa kutoa salaam za pole hawaoni ni kumdharau Mwenyekiti wao aliyepewa nafasi kuongea? Mkubwa ameshaongea(Mwenyekiti) wewe mdogo(Mbunge) ni nani?
CCM aliyeongea ni Katibu Mkuu wa CCM , Comred Abdulaharaman Kinana(nadhani jana ametibu kiu ya CHADEMA ya kutaka kumuona mara baada ya kutoka matibabu), Wabunge wa CCM(ambao hata hivyo Lema mwenyewe anakiri ni Mawaziri) ambao Lema anadai wote waliongea, Waliongea kama Serikali(Mawaziri) na siyo kama Wabunge.
Eti Lowassa kama Waziri Mkuu hakupewa nafasi. Hivi nini maana ya mameno haya ya RC? "NATAMBUA UWEPO WA MAWAZIRI WAKUU WASTAAFU?" Au mpaka atajwe kwa jina "WAZIRI MKUU ALIYESTAAFU KWA KASHFA YA RICHMOND?"
LAKINI, kuna jambo la kujiuliza hapa zaidi. KWANI ni jambo la KUJIVUNIA kuongea Msibani?
Naofu sana na uelewa wa baadhi ya wanasiasa. Lakini pia najifumza kuwa Kuwa mashuhuri wa kuongea siyo kuwa na Busara, Hekima na uwezo wa kutafakari mambo.