Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,306
Hahahahaha balaa!Katika purukushani za hapa na pale si tukavunja chaga bwana,.daah!!!tukatazamana kwanza kama dk 1 hivi tukiwa chini,.ikabidi tumalize kwanza ndio tushughulikie chaga,.nilicheka saaaaana hii siku na nikamwambia panga mwenyewe chaga zako,nikaenda jikoni kutafuta kimiminika,..[emoji81]alivyomaliza nikamwambia mzee baba fanya utafute kitanda cha chuma,.tutateguana nyonga"[emoji41]
Zigo wapii😂
Duuh?Katika purukushani za hapa na pale si tukavunja chaga bwana,.daah!!!tukatazamana kwanza kama dk 1 hivi tukiwa chini,.ikabidi tumalize kwanza ndio tushughulikie chaga,.nilicheka saaaaana hii siku na nikamwambia panga mwenyewe chaga zako,nikaenda jikoni kutafuta kimiminika,..[emoji81]alivyomaliza nikamwambia mzee baba fanya utafute kitanda cha chuma,.tutateguana nyonga"[emoji41]
Hahaha.
EeeeehKatika purukushani za hapa na pale si tukavunja chaga bwana,.daah!!!tukatazamana kwanza kama dk 1 hivi tukiwa chini,.ikabidi tumalize kwanza ndio tushughulikie chaga,.nilicheka saaaaana hii siku na nikamwambia panga mwenyewe chaga zako,nikaenda jikoni kutafuta kimiminika,..[emoji81]alivyomaliza nikamwambia mzee baba fanya utafute kitanda cha chuma,.tutateguana nyonga"[emoji41]
Wala hujakosea D...Duuh?
Wewe mkazi wa nyanda za kusini...kina nsamaki nchanga??
Hawa wakivunja chaga wala sishituki. Kuna mdada niliwahi kuwa naye wa huko dada zangu wakawa wananiambia wewe hawa watu hawaachiki labda aamue mwenyewe kukuacha.
Ebu babu yangu baelezee bhatu ya humu nikabhaelezee bhatu ya kunyumba... Mjukuu wako anakusalimiaa sanaaaa.Hahaha.
Bebe jomoniii🙈natania tuu wala thio mimi....
Naelewaa bebeBebe jomoniii[emoji85]natania tuu wala thio mimi....
Muah muah...😍😍
Nini kinawafanya wasiachike ?Duuh?
Wewe mkazi wa nyanda za kusini...kina nsamaki nchanga??
Hawa wakivunja chaga wala sishituki. Kuna mdada niliwahi kuwa naye wa huko dada zangu wakawa wananiambia wewe hawa watu hawaachiki labda aamue mwenyewe kukuacha.
Ebu tuambie siri yenu.Wala hujakosea D...
Mimi made in N'twara.samaki n'nchanga ndio mboga yetu na mbaazi[emoji41]pombe yetu inaitwa NIPA[emoji1]
Unamficha wapi huyu mtoto aseeh.Ebu babu yangu baelezee bhatu ya humu nikabhaelezee bhatu ya kunyumba... Mjukuu wako anakusalimiaa sanaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama confessor atatusaidia hapa.Nini kinawafanya wasiachike ?
Sijamficha babu, yupo kaja tele na si ajabu ukawa unapishana nae humu jukwaani...Unamficha wapi huyu mtoto aseeh.
Ya kuvunja chaga??ama....Ebu tuambie siri yenu.