Maada yako yaweza ikawa nzuri ila kuna wengine wanapo post thread za biashara mf. Simu, gari, n.k halafu hawaweki at least vielelezo kama vile picha n.k. Ndio maana wateja wanakereka na kuishia hapo unaposema. Hilo la GReAT THINKERS sio kila mtu ni great kuna wengine ni moderate thinkers au medium thinkers hatuwez kuwa sawa. Na nyie ambao mnaendelea kufanya bizness kwenye forum hii msipate kichwa kutokana na maada hii, kudai picha na maelezo ya kutosha tutaendelea tu mojawapo mm apa. Hili sio duka kwan hakuna kinachoonekana zaid ya maandishi hata dukan huwa wanatoa maelezo kidogo kabla ya kuuza. OVER[/QU ok that z a gud ideal