Habari wanajamii ,namaswali naomba tusaidiane kuhusu koz ya business administration kwa bachelor d
*kozi ipi Bora ya B.A ya -BA in general , - B.A in logistics and procurement, -B.A in marketing, -B.A in entrepreneur dvl.
*chuo kipi Bora kwakozi hii .
*nafasi zao in Tanzania government
* umuhimuwao kwanyakati hiz zaleo,