wewe umeeelwa uzii kwelii?? simu ipo kwenye hali hio kwenye picha juu utainstall vp ?? na wale wa simu za kupewa na kuokota umeikuta hivo utatoajeeee ??? usifikiri google wapuuuzi heeeeGoogle account manager, Can do all that.
Type neno lolote, long press hilo neno inakuja option ya assist tumia hiyo kufungua Chrome browser, search google account manager apk, download it na install, kisha add google account kwa kutumia hiyo, back to the verification page, ingiza email mpya ulioadd, itafunguka, then remove the oldest one.
You are done.
Google account manager, Can do all that.
Type neno lolote, long press hilo neno inakuja option ya assist tumia hiyo kufungua Chrome browser, search google account manager apk, download it na install, kisha add google account kwa kutumia hiyo, back to the verification page, ingiza email mpya ulioadd, itafunguka, then remove the oldest one.
You are done.
Sio zote zinakubali hiyo bypassGoogle account manager, Can do all that.
Type neno lolote, long press hilo neno inakuja option ya assist tumia hiyo kufungua Chrome browser, search google account manager apk, download it na install, kisha add google account kwa kutumia hiyo, back to the verification page, ingiza email mpya ulioadd, itafunguka, then remove the oldest one.
You are done.
wewe umeeelwa uzii kwelii?? simu ipo kwenye hali hio kwenye picha juu utainstall vp ?? na wale wa simu za kupewa na kuokota umeikuta hivo utatoajeeee ??? usifikiri google wapuuuzi heeee
Tatizo la shida la jukwaa la tech. Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu kwahiyo hata mtu akitoa kile kidogo anachojua anaonekana hafai na anakoselewa na kuitwa majina ya ajabu ajabu. Na hii imesababisha jukwaa la Tech, kudorora kila siku kwasababu watu wanaogopa. Ukiokota simu, itakuwa kwenye FRP au utaikuta ikiwa na pattern au password? Njia ya huyo jamaa ipo sahihi na inatumika kwenye baadhi ya simu na siyo zote. Huyo jamaa haujamtendea hakiwewe umeeelwa uzii kwelii?? simu ipo kwenye hali hio kwenye picha juu utainstall vp ?? na wale wa simu za kupewa na kuokota umeikuta hivo utatoajeeee ??? usifikiri google wapuuuzi heeee
Nimeelewa uzi vizuri, na unainstall vizuri tu...wewe umeeelwa uzii kwelii?? simu ipo kwenye hali hio kwenye picha juu utainstall vp ?? na wale wa simu za kupewa na kuokota umeikuta hivo utatoajeeee ??? usifikiri google wapuuuzi heeee
Afadhali mkuu, tatizo ni yeye hakuelewa...Tatizo la shida la jukwaa la tech. Kuna watu wanajifanya wanajua kila kitu kwahiyo hata mtu akitoa kile kidogo anachojua anaonekana hafai na anakoselewa na kuitwa majina ya ajabu ajabu. Na hii imesababisha jukwaa la Tech, kudorora kila siku kwasababu watu wanaogopa. Ukiokota simu, itakuwa kwenye FRP au utaikuta ikiwa na pattern au password? Njia ya huyo jamaa ipo sahihi na inatumika kwenye baadhi ya simu na siyo zote. Huyo jamaa haujamtendea haki
Hakuna njia moja inayoeleweka ya kutoa FRP kwenye simu
Daah pole sana maana hapo ndo nimeifanya iwe simple zaidiOngeza kidogo sijakuelewa mkuu ifanye iwe rshis zaidi ya hapo
Umekalili hujakutana na Simu na Wewe...Google account manager, Can do all that.
Type neno lolote, long press hilo neno inakuja option ya assist tumia hiyo kufungua Chrome browser, search google account manager apk, download it na install, kisha add google account kwa kutumia hiyo, back to the verification page, ingiza email mpya ulioadd, itafunguka, then remove the oldest one.
You are done.
Tembea uoneMm ndo kwanza najua leo kuna software ya kutoa frp eti mm natumiaga quick shortcut maker na google account manager
Hicho ndio nachofahamu boss, za simu nyingine toa na wewe mkuu, uongezee njia nyingineUmekalili hujakutana na Simu na Wewe...
Shida ya wafrika. Ukishachangia, wanaanza kujadili comment yako badala ya wao kutoa njia zingine au kukosoa kwa hoja. Hongera sana. Japokuwa wanakuponda, lakini umeweza kuonesha njia moja kati ya njia nyingi zinazotumika kutoa FRP kwenye simu. Nishaacha siku nyingi sana kuchangia mawazo yanahusu teknolojia kwenye mitandao ya waswahili. Ndiyo maana sijatoa hata njia moja na sitaweza. Huwa nachangia kwenye magroup na forum za wahindi maana hao wanajua. Unabishana kwa hoja kwa lengo la kuelimishana.Hicho ndio nachofahamu boss, za simu nyingine toa na wewe mkuu, uongezee njia nyingine
Mbona hujatoa hata moja
Sorry mkuu hapo unaposema type neno lolote, unali type wapi hilo neno?Google account manager, Can do all that.