Kwenye profle zetu ile sehemu waliokuwa wanaandika wait for selection sasa hivi wameimodify imekuwa 'wait for selectio wich expected to on 31st August 2016'
Kwenye profle zetu ile sehemu waliokuwa wanaandika wait for selection sasa hivi wameimodify imekuwa 'wait for selectio wich expected to on 31st August 2016'
#mbona mim kila nikijaribu kuingia NOAS inazngua yan inaleta error ata haiend then nikiingia nacte web inakubali but nikiselect central admission sys stil haiprocess inarud palepale nacte home cjui tatzo nn hao it wao tujuzane wakuuuu....
Ni hivi, baada NACTE kutoa waliochaguliwa kwenda vyuoni kwa certificate na diploma, walitoa tena nafasi kwa ambao hawakupata waombe tena. Tuliomba na sasa tunasubiri selection. Kama hukupata taarifa pole maana wameshafunga kujisajiri. 31/8/2016 tunategemea watatoa matokea ya hawa waliioomba mara ya pili.
Mi nliaply hi awamu ya pili mwanzo waliniletea selectn status kwamba nimechaguliwa chuo fulani,jmos iliyopta wakanionesha nimechaguliwa chuo kingine tofauti,sa hv wamefta tena imebak waiit second selectn 31 AGOST tatizo nn apo wadau??