Airtel naunga bando la mwezi GB7 kila wiki yaani kila Baada ya siku tano naunga tena kama na kuwa nina kazi ya maana ya kufanya kwa mtandao ila sehemu kubwa huwa natumia
Kusoma emails
Kuperuzi JF
Facebook kidogo
Whatsapp
Nashangaa aise
AIRITEL kweli hawa ni air maana ni kama upepo zinaisha shwaa!
Mitandao yote wanapiga ila hawa jamaa kiboko