Tujulisheni yanayo jiri M4C Songea leo

Tujulisheni yanayo jiri M4C Songea leo

paul nsangu

Senior Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
179
Reaction score
32
wanajf
tunavyo jua leo m4c inatikisa mjini songea makamanda mlioko huku tujuzeni na mtuletee updates msisahau picha ilil tujue ngome ya huyu jamaa (nchimbi) inavyo sambaratushwa na makamanda huko nawaomba makamanda walioko madaba na maeneo mengine wajiandae kwa mabadiliko
kila laheri cdm
 
Mh! Leo kumbeee! Nchimbi kumbukeni ni waziri mwenye dhamana ya wale WANAOUA, KUPORA, WALA RUSHWA, WANYANYASAJI. Akiamua leo hakuna M4C anaweza. Anaagiza tu wawarushie vitu vyenye ncha kali kwisha, ha! ha! ha! ha! ha! Chezea magamba wewe!
 
wanajf
tunavyo jua leo m4c inatikisa mjini songea makamanda mlioko huku tujuzeni na mtuletee updates msisahau picha ilil tujue ngome ya huyu jamaa (nchimbi) inavyo sambaratushwa na makamanda huko nawaomba makamanda walioko madaba na maeneo mengine wajiandae kwa mabadiliko
kila laheri cdm

Makamanda Msikonde hizo up dates tutawaletea kuanzia saa tisa mchana, na Mkutano wa Hadhara utafanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Matarawe Mjini Songea.Kata ya Matarawe inaongozwa na Diwani kutoka Magamba hivyo leo anapelekewa Kiama kutoka M4C kama mnavyojua Kamanda Mbowe ndie atakae hutubia pamoja na viongozi wengine wa kitaifa wa CDM.
 
pamoja sana kamanda tunasubiri updates zako
 
Wakuu msiwe na wasiwasi updates zitawajia muda ukifika!
 
M4C ondoa magamba wote hapo town! hasa huyu nchimbi hakikisheni anatolewa 2015
 
Kila la heri wanasongea fungukeni jitambueni tumfukuze mkoloni mweusi ccm. Tanzania bila mafisadi inawezekana
 
Niko Mjini Songea Kikazi toka Ijumaa, Ndio najiandaa sasa hivi kuelekea eneo la tukio kuanzia saa nane Pale S/M Matarawe kama ilivyopangwa hata mimi pia nitaungana na Makamanda wengine kuleta Updates. Hivo tunawaomba Mods msihamishe huu Uzi.
 
Mkuu mr Mbogoro anapanda jukwwaani anatoa habari kuwa anawashukuru kuwa hakuna kioda chomanga wa sarasi pia hakuna kubeba watu kwa magari
 
Mbogoro anasema hata Nyerere aliambiwa ni mchochezi kwakuwa alikua ni mtetezi wa wanyonge kaa CDM ambao ni mkombozi wa kweli wa watanzania
 
Anasema kuwaukweli si kitu kizuri kwa CCM anasema akina Filikunjombe, kangilugola na kesy waawakati mgumu ktk chama chao kwaakusema ukweli sasaa anasema anachukua Phd ya ukweli
 
Back
Top Bottom