TUJUE UKWELK WADAH

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Eti ni kweli kama ilivyoandikwa kwenye vitabu kwamba ukila vya watu na vyako utaliwa

Je ni kweli ikiwa wewe ujawai kumla mke wa mtu au mume wa mtu na wala utoki nje ya ndoa yako na mwenzi wako pia atakua atoki nje ya ndoa wala kuliwa na mwingine......?

Wanasema ukila mke wa mtu ni lazima na wewe uje kulipa kwa mkeo kuliwa.....Pia kama ujawai kugonga mke wa mtu na wewe mkeo autogongewa .

Maoni tafadhari
 
kama demu wako ni mke wa mtu wa baadae ukae ukijua kwamba lazima mke wako ataliwa na wengine...
 
kama demu wako ni mke wa mtu wa baadae ukae ukijua kwamba lazima mke wako ataliwa na wengine...
hahahaha kwa nini sasa iwe ivyo na wakati mimi sijamla mke wa mtu nimemla demu na wangu mm atakua analiwa na mwingine kabla sijamuoa kwa iyo nitakua nimeshalipa
 
Maneno tu hayo,sasa hv mambo yamejimix unaweza kutulia na bado ukachapiwa
 
Akili, akili ya mhusika itahusika zaidi, sababu ye s kaoa au kuolewa then akienda kuziniwa nje ya ndoa kataka mwenyewe soo kua et ulichepuka na wako atachepukiwa ni yeye mhusika akitaka itakua hivo.
 
Dhana tu hiyo, aliwazalo mjinga ndilo humtokea.
 
unaonesha umempenda snaaa Yule mke wa mtu?
KARMA LAZIMA IKURUDIE.
UNAPATA RAHA GANI.KUTEMBEA NA MKE WA MTU?
 
What goes around comes around
 
Isipotokea kwako itatokea hata kwa kizazi chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…