TUJUANE HAPA

BEST ONE BOY

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
309
Reaction score
221
Habari za time hii wadau wa MMU. .
Naomba wake kwa waume ladies and gentlemen kwamba wale ambao walifanya vitu vingi kwa girlfriend au boyfriend wako enzi hizo kwa kutegemea utakuja kuolewa au kuoa then mahusiano yalikatika ghafla bini fuuuu. ...
Ulijisikiaje kusema kweli mimi Niliumia Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijaanza mapenzi mpaka nipate masters ndo ntaanza kuwa na girlfriend ngoja wanakuja mkuu
 
You can have more than One soulmate in your lifetime!, the Most important thing IS TO STOP BAD MOUTHING YOUR EX TO OTHERS!!
 
Hivyo vitu ukikumbuka vinatia hasira mnooo.......me nilimpenda yule mwanaume Fulani yaani mpaka nikawa msukule kiakili ....chochote atakachofanya me nafanya kumuiga kama nakiweza...alikua anaswali swala tano na Mimi kwa kumuonesha nampenda nikaanza kuswali swala tano asee ...ana watoto wawili nlikua nawapenda kama nimewazaa jamani alikua anamiliki 85% ya akili yangu na feelings zangu mweeeeeh nliamini IPO siku nitakua mke wake doooh jangaaaaa ....kumbe bazazi kama mabazazi wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana aisee.....
Lakini saivi upo free soul

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulidumu kwenye mahusiano ya kuoana zaidi ya miaka 15...tangia shuleni

asalalee walahi..alivyokuja kuni ditch,sikutegemea.!!

mumewe ndiye wakuniambia '..huyu P ni mke wangu wa ndoa..'
tena baada ya miaka 2 kupita,huku nikiendelea kuwasiliana naye...nikijua ni wangu wa kuzikana




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa kutoneshwa jeraha ambalo lilikwishapona
 
Ilikuaje sasa kuachana aisee hapo parefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…