Google it mkuu. Nasdaq 100 ni index.Kivipi? Ebu elezea
Nazungumzia nasdaq100 index sio stock exchangeSpy 1983 pamoja Arch Angel Nasdaq ni mojawapo ya kampuni kubwa za stock exchange za marekani kuiacha NYSE market
Tufafanulie mkuu meilleur ninachojua forex inatakiwa usome vitabu ili uweze kuifanya je kuna sehemu gani nyingine unaweza kuilewa bila vitabu?Nan kakwambia fx IPO kwenye vitabu
Ukisoma kitabu nimuongozo mzuri ila unaitaji mazoezi kwa asilimia 70% akikisha unacho kisoma unakifanyia mazoezi na kama ukiona akilipi ki modify mpaka kianze kukulipa kwa 60% -80% kwavile mambo ubadilika maana sijaona 100% wining strategy mpaka leoTufafanulie mkuu meilleur ninachojua forex inatakiwa usome vitabu ili uweze kuifanya je kuna sehemu gani nyingine unaweza kuilewa bila vitabu?
Vyote ni vizuri ila kutrade manual ni kuzuri zaidi maana naamini akuna kitu smart zaidi ya binadamu nimeshaona on a marobot mengi aya naga kitu cha stop loss yana close trade manually ambako kuna kitu kinaitwa slippage kipindi cha market crush maroboti kama haya uchoma mitaji yote kabla alija fuata risk management yake iliyowekewa. Na roboti alijuagi market mbaya au nzuri linafanya lilicho setiwa ila binadamu nirahisi kushtuka unacho kifanya akipo sawa. Au akilipi saw a nimaoni yangu tuu@kashebofxWakuu kutrade manual Na kutrade kupitia EA kipi kizuri Na kina profit zaidi
Kwani hujawahi kupata mkuu ?Mimi bado najiuliza 200$ Bil.[emoji1]
Ngoja nipite Mana hapa tunaongelea trilion za kufa mtu.
Hata mimi pia najifunzaMimi Ndo Najifunza forex
Unatafuta commission sioKwa ambao wanataka kutrade forex mtumieni huyu broker yupo vizuri sana. Fuata link hii https://dashboard.templerfx.com/main?rid=139350
Kunashida ya kupata Broker anaendana na hali ya Tanzania; Msaada naombaUkisoma kitabu nimuongozo mzuri ila unaitaji mazoezi kwa asilimia 70% akikisha unacho kisoma unakifanyia mazoezi na kama ukiona akilipi ki modify mpaka kianze kukulipa kwa 60% -80% kwavile mambo ubadilika maana sijaona 100% wining strategy mpaka leo
Sio uwongo izi data uwangaliwa kwa kila length ya miezi mitatu au kwa mwaka so you can have bad day bad week and month and sometimes a year..... ila kwa mda mfupi niliopo kwenye soko kila baada ya miezi mitatu kundi kubwa lawatu hukata tama na biashara hii na kundi kubwa uingia kwenye biashara hii kwa kupata ushauri kutoka kwa MTU aliyepewa ushauri kwa MTU mwingine kwaiyo kupata ile real advice imekua shida. muhimu tuwe wakweli nasio kuielezea biashara hii kwakutumia maneneo ya traders tulio wakuta ila. Tu tumie maneno yetu....
1.Nakumbuka wakati naanza kutrade EURUSD ilikua nipair inayosifika kutembea pips nyingi ila kwa sasa sioa kweli
2.Nakumbuka wakati naanza kutradeNFP ndo news iliyo kuwa INA sifika kutembea pips nying kwa sasa sio kweli
3.Nakumbuka wakati naanza kutrade ijumaa ilikua kwanzia SAA saba mchana soko waga Lina range ila kwa sasa sio kweli
Tujifunze kwenye forex tunaitaji kuwa dynamic sana kutokana na mabo yanavyo badilika na kutumia experience yetu kushauri watu wengine @kashebofx
gorex tenaKunashida ya kupata Broker anaendana na hali ya Tanzania; Msaada naomba
Pia kuweka pesa nirahisi kuliko kutoa hapo vp?
Je tunawezaje kupambana na matapeli? Ktk biashara hii ya Gorex