Si bora ccm hivi cdm kuna mtu wa kuongoza nchi pale..pale ndio pameoza kabisa.Tatizo ni Ccm.
Si bora ccm hivi cdm kuna mtu wa kuongoza nchi pale..pale ndio pameoza kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka kumuua LissuRais Magufuli amenikuna leo kwa kulitamka hili "tujiulize kama taifa tumekosea wapi" Hebu watanzania tumsaidie Rais wetu kumwambia wapi tulikosea.
Mimi naanza mchango wangu kwa kumwambia kuwa kwanza tulipokosea kwa kuwa na katiba mbovu isiyozilinda rasilimali zetu. Tuandike upya katiba yetu.