Tujitahidi kupitia (kuireview**) post kabla ya kuipost..

Code Breaker

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
1,019
445
Hebu ona EA Radio kwenye hio post yao...

9e8833db7431c8f02023c457bae2789f.jpg
 
Hizi smartphone hizi mimi nikitaka kumtumia mtu lazima nihakikisha mara 3 coz unaweza kumtumia mtu akabaki anakufikiria kama ulidhamiria au bahati mbaya.
 
Ni kweli ni makosa ya kibinaadamu/kiuandishi ila "tujitahidi" kupitia maneno kabla ya kuiweka Habari public, hutapoteza chochote zaidi ya kuongeza ufanisi na usahihi kwenye kazi yako... Tujitahidi kupunguza "room for errors"... It's ethical and safe...
 
Back
Top Bottom