Tujilinde wenyewe

andrews

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
1,679
Reaction score
152
Nawaomba watanzania wote wapendao nchi yao 2015 tulinde wenyewe vituo vya kupigia kura nape na wenzake hawana ubavu zaidi ya kununua na kuiba kura za watanzania.

Kikwete analijua hili ndio maana amewaacha kwenye mataa.sasa tujipange tuchukue taifa letu kutoka kwenye makucha ya mafisadi viva tanzania.

Help:
 

Hili neno zito na muhimu sana linahitaji majadiliano ya kina ili kila mtu mwenye mapenzi mema na nchi hii aelewe adhamirie na atekeleze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…