Tujikumbushe ya waburushi huko Usangu

Tatizo la wengi wetu ni kuwa atokeapo mtu mmoja akiwa na maono tofauti na wengine basi unabandikwa stempu ya aidha ----------- au mpambe. fikra hizi ndani ya jamvi hili ni haribifu na kwa ukweli ningekuwa mimi ni moderator ningekemea hili. KAMA WEWE UNA HAKI YA KUANDIKA UNACHOFIKIRI [HATA KIKIWA NI HEWA TUPU] KWA NINI UMMBEZE YULE AMBAYE AMETOFAUTIANA KIMAONO????? KWA YEYOTE YULE AMBAYE ANAMAWAZO MGANDO KAMA HAYO HASTAHILI KUWEMO HUMU JAMVINI KWANI JAMVI HILI NI KWA WALE WHO DARE TO SPEAK WHAT IS OFTEN NOT SPOKEN
ZZILE ENZI ZA ZIDUMU FIKRA ZA MTU MMOJA ZIMEKWENDA NA MAJI KITAMBO TU.
 
you are sick really do you want the ambulance or you dont and if you do not need it simply ignore it bro
 
Kwanza mimi siyo mtu wa mbeya na mimi nimetoka huko karibu miaka 3 iliyopita lakini hakuna sehemu katika mkoa huo ambao mimi sijapita nimejitahidi kufahamu mila na tamaduni zao na hizo ndiyo zilizoniwezesha kuishi nao.
na mimi siku zote ninapoandika kitu ninajitahidhi kutoingiza hisia zangu ndani ya andiko langu. Tatizo la huko siyo hilo tu kwani kuna mkaburu ambaye naye ni mwekezaji wanamfanyia hivyo hivyo. Jee huyo naye ni burushi???
acheni siasa za taka kuweni objective humu ndani kwani kuna watu wa aina nyingi huwa wanachangia humu ndani na kama unaona huwezi kuchangia vizuri basi soma za wenzako ujifunze [mimi sijachangia karibu miezi miwili lakini kila jioni huangalia michango ya wenzangu. ACHENI UKABILA ACHENI WIVU USIYO NA MAENDELEO
 

ni wakati muafaka sasa kwa wananchi wa mbarali kuamua kuchagua mbunge atakayewawakilisha bungeni na siyo mwakilishi wa makampuni binafsi. Tuspoangalia tutamfanyia mtu kazi ya kumjengea uwezo wa kukwepa kodi kwa kupindisha sheria. Hawa watu ni hatare sana; hawana utu wametumia hela kumtoa ndg za mahakama baada ya kutuhumiwa na mauaji mwaka 2009. Kwakweli sijui wanambarali mna macho masikio na akili ya kutambua nguvu yenu katika hili. Heshimu kura yako pigia mtu mwenye uchungu wa kweli na mwenye uwezo
 
Kiwango cha kuchukia wawekezaji cha huyu jamaa kilikuwa cha SGR kabisa
 
Hizi mada ndiyo zilinifanya nije Jeiefu,bahati mbaya account yangu ya kwanza ya 2010's nilisahau nywila.......daah saizi utoto mwingi sana hakuna mabandiko ya maana kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…