Mkuu kabumbu lilisakatwa zamani, siku hizi ni kubutua tu na kufanyabiashara.Nafatilia Afcon ya mwaka huu inayofanyika Gabon, nimegundua Michuano imepoteza mvuto, haina msisimko kama zamani, viwanja ni vitupu, hakuna vikundi vya ushangiliaji kama ngoma nk ambao ni utamaduni wetu Afrika.
Leo hii Cameroon haina hata mchezaji staa anayejulikana, wengi wao wamekataa kuja kucheza michuano hii. Tofauti na zamani wachezaji walijitolea kuja kupambana kwa ajili ya mataifa yao, kama ni mpira ulipigwa mwingi sana tofauti na leo.
Tukumbushane timu na baadhi ya wachezaji waliosumbua Afcon za miaka ya nyuma kiasi cha kufanya michuano inoge sana.
Mimi naanza na hawa, Steven Appiah wa Ghana, Sunday Oliseh, Patrick Mboma, Sibosiso Zuma, Mohamed Aboutrika, Wael Gomaa, Amr Zaki, Khalilu Fadiga wa Senegal
Umenikumbusha mengi sana mkuu na mbali sana. Nadhani hata hawa wachezaji wakiangalia vikosi vya sasa wa natamani kulia. Sijawaona wana chipolopolo OG (R. I. P)
Super Eagle hiyo mwananguJ j Okocha
Talibo west
Sema dk za mwisho Uganda walimtafuta Ghana balaaHapa nina uchungu na Uganda Cranes kupigwa 1 naisubiri gemu ya Mali na Egypt napenda waarabu wapigwe! Naomba uzi huu tupeane pia updates kwa tutaokuwa tunaangalia mechi inayotaka kuanza!
"Vyuma" vilioitisha mpaka Brazil ya kina Dunga, mamaeeNwanko KANU
Taribo west
Daniel amokachi
Uche ikwechuku
Celestine babayaro
Tijan babangida
Mustafa el haj
Patrick mbona
Henry camara
El haj diouf
Papaa bouba diop
Uche Okechukwu
Rigbert Song
Ahmed Hassan Mido
Jay Jay Okocha
Nyakati hazirudi nyuma tena."Vyuma" vilioitisha mpaka Brazil ya kina Dunga, mamaee
Noma noma hapo walikuwa tishio balaa. Ila sasa hata afcon hawashirikiSuper Eagle hiyo mwanangu