Tujikumbushe- Makinikia, Sukari, mafuta ya kula, cement, korosho lipi alifanikiwa ikiwa chanzo ni yeye?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Kuna bwana mmoja yeye anajua kila kitu yaani mambo ya Siasa yupo, uchumi yupo, jamii yupo na anagawa hela huyo hatari yaani anatembea na manoti akijiskia anatoa mbele ya kamera.

Katika kipindi cha utawala wake kumezuka mambo mengi ambayo chanzo ni yeye kufanya maamuzi anayoyaita magumu ila hayajawai kuzalisha matokeo.

Kama mtakumbuka jiulize alishashinda au kufanikiwa yapi kata ya haya

1. Sukari - kodi
2. Mafuta ya kula- kodi
3. Cement - kodi
4. Korosho- alikwapua hela ya wakulima na vitisho kwa wanunuzi
5. Makinikia - kazuia kontena kumbe uchawi mikataba

Katika hayo hakuna hata siku moja kafanikiwa2
 
Back
Top Bottom