Tujikumbushe kidogo..ivi logic ya kuweka antenna ndeeefu vile ilikua ni nini

kadefeghe

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
446
629
Wadau kwema..wenzang wa miaka ya 2000 mtakua mnakumbuka zaman miaka hyo I'li ipate channel kwa Tv ilikua lazimaa upandishe antenna juu..kiwango cha upandishaj kinategemea uko wap..nakumbuka kwetu antenna ilikuaa.juuu Sanaa ndo unaipata ITV daah..tumetoka mbaaaali..
M mkoa nlokuepo those days ilikua I'li kupat radio one lazimaa eria..uiwekee juu kwa miti ndo inapatkan..daah
Sema zaman n zaman nakumbuka nshawah kuanguka wakati natega eria I'li kuipata kiss fm enzi izo kuanzia saa 12 jion hip hop n balaaa
@Ni kumbukumbuk wadau anaekumbuk chochote pitia apa


Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kama unajua maana ya Analojia na dijitali sidhani kama kulikuwa na haja ya kuja kufungua uzi wa kiwaki wenye swali la kiwaki ndani yake.

Nisamehe sana ndugu Mtanzania mwenzangu, ila changamsha bongo.
Punguza stress mkuu ni hatari kwa afya yako.
 
Wakuu kwani mpaka humu jf tuwe tunatoleana maneno ya ovyo au kujibizana majibu yasiyo na maana.

Inatosha tu kujibu kwamba
''Enzi zile tulikuwa analogia Sasa hivi ni digital"

Na jamaa nae angejibu kistaarabu mada hiyooo inaenda zake.

Tujiepusheni na Mambo mengine yasiyo na msingi maana yatazalisha matusi,manyanyaso,kudharauliana na kebehi za hapa na pale Hali ya kuwa tukiwa Kama binadam sio Mambo mazuri.
Tupendaneni na kuheshimiana ndugu zangu.
 
Duh! Umenikumbusha mbali, mara tv inashika kwa mawenge. Utaambiwa: "kazungushe antena mbona leo inaonyesha mchele mwingi?"
 
Back
Top Bottom