3. HATUTOFAUTISHI WENZI WETU NA 'WENGINE'.
Nikiri wazi kwa asili na kimaumbile(kwa msaada wa tafiti mbalimbali) mwanaume si mtu anaweza kuwa (kingono) na mmke mmoja, lakini hakuna sheria wala kanuni inayosema ni lazma kuwa na sidechicks, inakuja kuwa ni hiari ya mtu-si lengo langu hii iwe maada-bali ipo sehemu tunapokosea. Tunashindwa kuheshmu wnzetu na kuwapa heshima yao. Mtu anayefua nguo zako, anayekupikia, anayejua unalala vipi ni mtu anayepaswa kuheshimiwa sana. So pale mtu anaposhndwa kabisa kutokuwa na mmke moja, ni vyema kumuheshimu sana mmke wako. Haipendezi na haijengi, mazngra ya mmke wako kuchanganya na michepuko, mathalani, kitanda, gari, bali muhimu zaidi kuathiri ratiba zenu za maisha. Mmke wako ndie unaehustle nae, ni vyema umuheshimu, wanawake ni wema sana ukiwathamini na kuwaheshimu, but side chick yake pesa tu. Wanasema never treat the one you love with the same way and respect u treat the one u 'hump'.