Kumbe Permanennt Head demage (PhD) ni deal eeh?
Huyo Nchimbi alianza kujiita Dr, hata kabla Mzumbe ahwajampa hiyo Doctorate?
Kumbe siku hizi Mzumbe wanagawa PhD?
Hii ni kuonyesha kuwa Dr. John Pombe Magufuli ni kichwa: No one question his doctorate degree.
Ipo thread ya Mkulo lakini waheshimiwa waliomba ihamishwe kwani ilikuwa inamtia aibu sana mheshimiwa waziri
Katiba mpya itasaidia kumaliza hili tatizo la wasomi feki.
How? Hili nalo linatakiwa kuingizwa kwenye katiba?
Rais atateuwa cabinet ministers then senate/bunge ndio lita-approve ama block the nomination. Kenya wameshaanza utaratibu huu. Hapo itawapa congressmen/wabunge nafasi ya kupitia resume za nominees na kujua kama ni vihiyo ama la
Wabunge wa opposition si wapo mkuu. Hao wanatosha kublock any bogus nominations ili kuipunguzia aibu Tanzania kwa kumfunga gavana rais wa nchi kuteua vilazaSasa kama kuna wabunge wenye "degree" za Commonwealth Open University unafikiri watam-treat vipi waziri mteule mwenye degree kutoka chuo hicho hicho? Badala ya kuwa appointed na Rais, kwa nini wasitume maombi halafu waitwe kwenye interview na kuwa screened?
Wabunge wa opposition si wapo mkuu. Hao wanatosha kublock any bogus nominations ili kuipunguzia aibu Tanzania kwa kumfunga gavana rais wa nchi kuteua vilaza
It wouldn't have made a fuggin difference hata kama ange-graduate "Summa Cum Laude" kwenye chuo chenye jina makubwa kama Harvard, Princeton au Oxford University. Bora kibuda kama huyu anaye-cheat waziwazi na kila mtu anajua kuliko yule unayemwabudu na kumwamini eti sababu kaenda Harvard.
Hakuna cha heri hapa. Halafu argument kama hizi zimezagaa sana kwa Watanzania. Eti kwa vile huyu kafanya kosa, basi linajustify kosa alilofanya mtu mwingine. hata siku moja wrong plus wrong never make it right. Ukiua kwa shoka, na mimi nikiua kwa kokoto, wote tumeua regardless of the means used.
Why go to a "university" that is not recognized even by TCU?
Why go to a "university" that no Western accredited university will recognize?
Why go to a "university" that no employer will accept (save may be the Government of Tanzania?)
Why go to a "university" that is listed on consumerfraudreporting.org?
Why go to a "university" that no first world country in the world will recognize?
Why go to a commonwealth open "university"?
Tafakari verse ifuatayo ya "The End" by Ras Kass
"The end justifies the means
The end is power
Power corrupts -- absolute power corrupts absolutely"
That being said, aliyesoma "Commonwealth Open University" au "Harvard University", malengo yao yote ni sawa. Kama huamini, jiulize kwa nini Tanzania imejaa wanasiasa wenye titles za "Madaktari" na "Uprofesa"?
Usilinganishe elimu inayotolewa Havard na hiyo Commonwealth Open University please.....manake ni sawa sawa na kufananisha Mercedes Benz v/s Nyumbu. Wahitimu wa taasisi hizo mbili watakuwa na uwezo tofauti kielimu na hata kibusara.
Hata UDSM is way better than this degree mill (Commonwealth Open University)
whatever, dude!Looks like you missed my point altogether. Hakuna anayejaribu kulinganisha elimu ya Harvard na ile ya "Commonwealth Open University". But like I said, at end of the day, "the end justifies the means". Go figure, dude.
Wanahesabika wale. Walishindwa kuzuia ule mswada wa katiba mpya usipite ndio wataweza kwenye uteuzi wa mawaziri wenye degree feki?
Just like anyone else, those politicians have to keep my trust on a case-by-case basis.
I'm very good at spotting propaganda and dishonest tactics, so I'd say the uneducated would be less likely to use that type of thing and be more trustworthy, even if no less wrong
Tafakari verse ifuatayo ya "The End" by Ras Kass
"The end justifies the means
The end is power
Power corrupts -- absolute power corrupts absolutely"
That being said, aliyesoma "Commonwealth Open University" au "Harvard University", malengo yao yote ni sawa. Kama huamini, jiulize kwa nini Tanzania imejaa wanasiasa wenye titles za "Madaktari" na "Uprofesa"?