Habari zenu ndugu wenyenchi?
Naam! Mada inaanzia hapa!
Mwaka Jana 05/2017 Jamaa yangu alikutana na mwanamke kwa njia ya Facebook, kwa kweli yule mwanamke ki muonekano wa picha alikua in mzuri sana yaani ukimuona huwezi chomoa, hivo walitongozana na kukubaliana na urafiki wa kimapenzi ulianzia hapo.
Kwa vile mwanamke alikua dar na Jamaa yangu alikua hapa Moro chuoni kwa hivo walipanga waonane katika hoteri moja hapo mjini, makubariano ya tarh na siku yakatimia hivo kilicho fuatia in kukutana.
Hamadiii![emoji15] Jamaa yangu anamiaka 22 huyo mwanamke alie kwenda kukutana nae kama si 38 basi in 40 miaka na ile sura alio kuwa akiiona kwenye Facebook sio ile alio kutana nayo.
Hii haikunifanya kuleta mada ila nilio ilenga ni hii ilio tokea Jana kwa kaka yangu na mke wake, IPO hivi!
Katika mtandao uleule wa Facebook ambao unatumiwa na watu wengi wa lika mbalimbali hadi wenye umri wa miaka 13 wapo humo, umeenda kuibua kizaazaa Jana na kuwaacha watu wakiwa katika sinto fahamu, yaani ilikua hivi!
Kaka yangu alifungua akaunti nyingine kwa jina lingine na picha nyingine kabisa, hivo alianza kuwaomba watu urafiki walengwa zaidi walikua in wa kike, kumbe hata mke wake pia alifungua akaunti nyingine kwa jina lingine na picha nyingine kabisa.
Kwa hivo kilicho endelea katika kuwaomba urafiki wanawake kumbe na mke wake yumo humo, baada ya kukubaliwa na watu wengi alijikuta anampenda binti mremboo katika picha hivo akamtumia ujumbe.
Kaka; habari yako mrembo?
Shem; poa
Kaka; habari za wapi
Shem; dar
Kaka; OK me nipo Moro
Shem; poa
Kaka; mbona mkato hivo VP nakuboa?
Shem; hapana
Kaka; vipi tunaweza kuzungumza zaidi kweli n.k
Mwisho wa yote wakawa katika urafiki wa kimapenzi, kwa hivo kilicho endelea in kupanga siku tareh na muda ili waweze kuonana.
Na kumbe wamekutana wote in waongo na wanaishi pamoja pale mazimbu, kidume kasema yupo Moro kijike nacho kimesema kipo dar[emoji3] [emoji3] .
Siku tarehe na muda vikawadia, kama walivo kubariana kuwa mwanamke amfuate mwanaume Moro aliweza kufanya hivo, kuja kukutana katika baa moja hivi yenye maanzari mazuri kabisa.
Laaahaulaaa![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] yule si mke wangu yule kulikoni hapa huyu demu wa dar ameniambia kuwa amevaa nguo kama hizo, acha nimpigie simu huyu wa dar nijue in wapi alipo.
Mara mke/dem wake anapokea eee upo wapi "baby" kaka duuh[emoji15] [emoji15] we mshenzi twende nyumbani[emoji127] tukaelewane vizuri.
Kilicho fuata nyumbani kesho nitaendelea.................. Cha kuzingatia tu in kujihadhari na mitandao ya kijamii.