UHALISIA ama kwa jina jingine hujulikana kama "Reality" ni mmoja kwa kila mtu. Tofauti iliyopo kati yako na mwingine katika uhalisia ni mtazamo wenu tu (namna mnavyoutazama uhalisia)
Ni wazi kwamba watu hatufanani UFAHAMU pindi tuangaliapo uhalisia, lakini pia hatufanani the so-called background and experience ambayo ina athari kubwa sana katika ku-shape uhalisia wetu, hivyo basi namna yetu ya kuyaangalia maisha, imani, na dhana kwa namna yoyote ni tofauti.
Kwa maana nyingine tunaweza tukasema kwamba" PERSONAL REALITY" ya kila mmoja wetu imejengwa katika misingi ya kihisia, kimaumbile na kifikara hivyo hatuna uwezo wa kubadili AT THIS GIVEN MOMENT, kwa hiyo hapa tunasema kwamba "PERSONAL REALITY" ya mtu ni mjumuisho wa; kiwango chake cha ufahamu kipindi husika, imani, dhana n.k
Hivyo basi ni muhimu kuzingatia kwamba matatizo meengi tuyapatayo hasa ya kihisia na kimaumbile hutokana na kutokukubaliana au "RESISTING SOMEONE ELSE'S REALITY" ambayo kimsingi katika kipindi hicho husika huwezi kubadili. Na hapa ndipo kilipo chanzo cha vitu kama "DISAPPOINTMENTS and FRUSTRATIONS"
Tumekuwa ni watu wa kutengeneza matarajio kwa wenzetu pasina kufahamu na kukubali their PERSONAL REALITIES. Japo hizi realities wakati mwingine huweza kuwa mbaya, lakini kabla ya kuanza kushindana nazo mtu huna budi kuzikubali kwanza. Hapo utakuwa umekubaliana na uhalisia na hivyo utakuwa umejiepushia matatizo mbalimbali ya kihisia na kimaumbile.
Shukrani
Omarou