N nyundo2017 JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 1,437 Reaction score 861 Feb 11, 2018 #1 Uzinduzi wa jengo wa mtu mweupe ni kitu cha kawaida sana hakuna gharama wala usumbufu wa watu na shamrashamra zisizo na ulazima. Haya uje kwa uzinduzi wa jengo wa Mtz ni karaha,mbwembwe,watu watahangaishwa,gharama zisizo na lazima,wizi,ufisadi juu,n.k
Uzinduzi wa jengo wa mtu mweupe ni kitu cha kawaida sana hakuna gharama wala usumbufu wa watu na shamrashamra zisizo na ulazima. Haya uje kwa uzinduzi wa jengo wa Mtz ni karaha,mbwembwe,watu watahangaishwa,gharama zisizo na lazima,wizi,ufisadi juu,n.k
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,460 Reaction score 195,273 Feb 11, 2018 #2 Tatizo sifa... Lazima wakutambue wewe nani... Cc: mahondaw
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,318 Reaction score 7,982 Feb 11, 2018 #3 Unamsema yule jamaa aliyeenda kuzindua ..... Badala ya kwenda msibani? Maana nae alitumia ghalama kubwa sana kwenye uzinduzi
Unamsema yule jamaa aliyeenda kuzindua ..... Badala ya kwenda msibani? Maana nae alitumia ghalama kubwa sana kwenye uzinduzi