Tujifunze biashara kidogo

Jamaa kayumba sana pale eti uende kwenye gari malatatu kupelela tikitimaji yaani hayo matikiti yamaana sana.

Kafosi sana kuwa applicable.
 
Hizo ni theories walikaririshwa chuo lakini ukija kwenye uhalisia unaangukia pua.
Jamaa kayumba sana pale eti uende kwenye gari malatatu kupelela tikitimaji yaani hayo matikiti yamaana sana.

Kafosi sana kuwa applicable.
 
wee jamaa uko smart sana asee
 
Hizo mbinu alizotoa mleta mada hazifunction kabisa huku kitaa, watu wengi wanajali quantity zaidi kuliko quality hii ndio falsafa ya sisi masikini.
 
Hizo mbinu alizotoa mleta mada hazifunction kabisa huku kitaa, watu wengi wanajali quantity zaidi kuliko quality hii ndio falsafa ya sisi masikini.
Mifano hiyo miwili, japo sio halisi inafundisha mambo mawili;

MFANO WA KWANZA:

Mzee ametumia mbinu hiyo ili kuwafanya wateja waridhike na bei ya TZS 3,000/= kwa tikiti moja. Anachotaka mzee ni kwamba asipoteze hata mia (Kupunguza uwezekano wa mteja kuomba punguzo la bei).

Kwahiyo, ame-overprice fungu la matikiti matatu ili mtu aone bei ya tikiti moja ni nafuu sana.

Wengi huwa wanapunguza bei: Mfano, tikiti moja anauza TZS 3,000/=, matikiti matatu anauza TZS 8,000/=. Kwa mbinu hii wateja wengi watanunua matikiti matatu.

Tupige hesabu: Tuseme wote wana matikiti 21

Mzee: akiuza moja moja atapata TZS 63,000/=, na akiuza matatu matatu atapata TZS 70,000/=

Mtu anaetumia mbinu iliyozoeleka: akiuza moja moja atapata TZS 63,000/=, akiuza matatu matatu (Na ndivyo itakavyokuwa) atapata TZS 56,000/=

UWEZEKANO: Kuna uwezekano mkubwa wa Mzee kuondoka na TZS 63K, wakati huyu mwingine uwezekano ni mkubwa kuwa ataondoka na TZS 56K!

Pointi ya msingi ni kucheza na saikolojia za watu, kwa kuzingatia uhitaji, upatikanaji na aina ya wateja wako.

SWALI: Ki-mtaani mtaani, kipi ni nafuu... kujenga nyumba kidogo kidogo kwa kutumia mafundi wa mitaani au kuilipa kampuni ya ujenzi kwa mkupuo? (Watu wa serikalini mnaita Force Procurement kama sijakosea)


MFANO WA PILI:
Kampuni ya Apple inatumia hii saikolojia, na sababu ni moja: wanawajua vizuri wateja wao. Wateja wa kampuni zinazotumia mbinu hii (Kampuni zinazotengeneza bidhaa za kifahari, ambazo zinaaminika kuwa ni imara, bora, na za kipekee) ni wateja ambao hawajali kuhusu bei, wanachojali ni "status".

Ndio maana ni vigumu kukuta tangazo la gari la Lamborghini Tanzania, au Zimbabwe au Somalia, au kwenye TV kwasababu wateja wa Lamborghini hawapo Tanzania, wala hawana muda wa kuangalia TV!

Kuna mtu atabisha...., ngoja nijaribu hivi;

Kwa mfano: Ukisikia Landcruiser V8 mpya inauzwa TZS 25,000,0000/= utanunua? Au tuseme wazo gani litakujia kichwani?

Sasa tuseme ni Landcruiser V8 hiyo hiyo inauzwa bei hiyo hiyo 25m lakini ukaambiwa inatoka China... utaridhika na bei au la?

Akili mtu wangu!

Haaiiyaaaaa.... tawanyikaaaaaa! (In Soudy Brown's voice).

Mjadala na uendelee.
 
Madini mazuri sana ,mm nikiendaga kununua vitu sokon mara nasikia muuza genge anasema ukinunua nyanya Tano atauza Kwa mia Tano,ukinunua tatu mia na hamsini.,wengi tuta angalia quanty automatically tutachukua za mia Tano .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…