SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kwa akili yako unaamini Marekani anatetea wanyonge?
Marekani anatetea maslahi yake kwanza , nyie atawatetea kama mrija ukikaa vizuri.
Irak,Libya na Syria unafikiri wanaouwawa ni hawa viongozi wakuu.
Marekani kama mirija yake haiguswi hata uwe mnyanyasaji kama Mseven dhidi Besigye hatakugusa.
Juzi tu hapa Kabila ameua waandamaji zaidi ya hamsini umesikia marekani akishupalia ? Hawezi sababu mirija yake huko inatiririsha bila bugudha.
Ali Bongo ameua waandamaji kadhaa lakini Marekani yupo kimya sababu ndio maslai yake yalipo......hao jamaa inahitaji Diplomasia ya hali ya juu kudili nao sio kauli kama za akina Nape.
Kama tunahitaji kugusa maslai yao inabidi twende kuwaomba kwamba jamani tulegezeeni kidogo...
UPEO WAKO NI WA KIPEKEE KABISA KUPATA KUUONA HAPA JF,BRO MAWAZO YAKO YANALENGA BARA ZIMA LA AFRIKA, FIKRA ZAKO HAZINA UBINAFSI HATA KIDOGO..MUNGU IBARIKI AFRIKA....LIKE.
Tunajiibia wenyewe wala tusitafute visingizio
Angalia kama issue Ya IPTL sijui Escrow mara Lugumi
Hao nao ni wametoka the western world???
Yule singasinga katokea wapi?
Lugumi kwao wapi?
Lipumba kwao wapi?
Ukifuatilia kwa ufahamu wenye rutuba hata wizi mkubwa wenye kunyonya mataifa mengi maskini kuna uratibu wa karibu wa mabenki makubwa ya dunia {Magharibi,makampuni makubwa ya dunia {Magharibi},majasusi wa kiuchumi wenye kofia ya uzawa wakisimama kama madalali wakuu..viunganishi...nomino...
Mfano tu :
{Richmond=Dowans=Symbion=?
;{IPTL=Merchar=PAP=SCB [HK}=?
Mwaka huu mtajifunga mpaka nyuzi za viroba.Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Kwa akili yako unaamini Marekani anatetea wanyonge?
Marekani anatetea maslahi yake kwanza , nyie atawatetea kama mrija ukikaa vizuri.
Irak,Libya na Syria unafikiri wanaouwawa ni hawa viongozi wakuu.
Marekani kama mirija yake haiguswi hata uwe mnyanyasaji kama Mseven dhidi Besigye hatakugusa.
Juzi tu hapa Kabila ameua waandamaji zaidi ya hamsini umesikia marekani akishupalia ? Hawezi sababu mirija yake huko inatiririsha bila bugudha.
Ali Bongo ameua waandamaji kadhaa lakini Marekani yupo kimya sababu ndio maslai yake yalipo......hao jamaa inahitaji Diplomasia ya hali ya juu kudili nao sio kauli kama za akina Nape.
Kama tunahitaji kugusa maslai yao inabidi twende kuwaomba kwamba jamani tulegezeeni kidogo...
Ukatiri,uonevu,vita,chokochoko,ujambazi wa utajiri wetu kwa jina la demokrasia/misaada/Haki za binadamu haupaswi kutetewa na yeyote mwenye kufahamu gharama ya uhuru wa mataifa yetu...ukombozi mamboleo umewadia ...viongozi legelege wenye kusema ndio kwenye kila linalonenwa na waliokuwa wakoloni wetu sidhani kama wana nafasi..hata viongozi wa vyama wenye kuwanyenyekea waliokuwa wakoloni ili tu wawezeshwe kushika dola hawana tofauti na wakoloni mamboleo husika
Ukweli ukizihiri uongo hujitenga mbona hukulisema lile la dhulma lililofanyika kule Zanzibar na kuwanyanganya wazanzibar ushindi Wao wa octobar 25-2015
Siasa ni mchezo ambao wengi wanaoucheza hawajui asili yake,ukweli wake,mbinu zake,siri zake ,miiko yako,tamaduni zake,...waliotuletea inayoitwa demokrasia wenyewe inawasumbua na inawashinda...Yatuppasa kujitambua zaidi,kujitafakari zaidi..
je manufaa ya hizi siasa zetu ni umoja?Mshikamano?Undugu?Maendeleo?Ustawi wa jamii zetu?Kuondoa umaskini?...
Ni nchi gani toka dunia ya tatu imeendelea kwa kinachoitwa demokrasia?..
Ieleweke sipingi haki za kidemokrasia lakini sio demokrasia yenye kulenga kuwafurahisha wanyonyaji,majambazi wa rasilimali zetu...Demokrasia inayofuhaia umaskini endelevu wa washangilia khanga,kofia,chumvi,vijipesa,ubwabwa,viroba wakati wa kampeni.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]USA hana ubavu tutampiga kama tulivyo mpiga idi amini sisi hutuhitaji upuuzi wake name sisi tutamuekea vikwazo ale majani mwitu
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Waambie viongozi wajifunge mkanda, Waambie viongozi watende haki, Waambie viongozi wafuate sheria,Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...