Bar gani hiyo?Wito muhimu View attachment 1232016
Ni mfano mkuu umetoa wenye uelewa mpana watakuwa wameelewa.Uchaguzi hoyeee![]()
![]()
Bar gani hiyo?
Simba imara na Yanga imara huleta hamasa ya kwenda kuangalia mechi ila kama TFF mmeihujumu Simba na imeshuka kiwango kiasi hiki sioni kama kuna mzuka wa kwenda uwanjani.
Samahani kuchanganya mambo ya mpira na uchaguzi.
Tutasubiri kupata ofa ya biaWito muhimu View attachment 1232016
It sounds like a small kid's order!Wito muhimu View attachment 1232016
Unakosa ofa, ila kwa walioandikisha sasa zitanyweka kila aina ya pombe mpka ile inayotarajiwa kurasimishwaVipi utakuja na daftari ili kuhakkiki wanywaji kama wamejiandikisha? Kama jina halipo anafanywaje?
Wito muhimu View attachment 1232016