Tujiandae na Rais ajaye

Ndugu Ukweli

Member
Apr 8, 2017
5
13
Ndugu Wanabodi,
Nimeshawishika kuleta uzi huu baada ya kuona kuwa tunahaja ya kushiriki katika kuandaa Rais anayefuata baada ya huyu aliyepo sasa.
Katika hili nimekutana na video inayoeleza namna tunavyoweza kushiriki katika kutoa muongozo wa nani anafaa kuwa Rais wa nchi yetu Tanzania.
Nawaalika muangalie video katika link hii hapa:

Naamini tunaweza kusaidia kutoa mwelekeo fulani katika nafasi ya kiti cha Rais.
Wenzangu baada ya kuiangalia mnasemaje?
Karibuni kwa maoni.
 
Rais wa sasa kashaanza mkakati kuendelea baada ya 2025.

Umeanza ndani ya CCM kwa kupita kuwa mgombea bila kupingwa.

Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom