M Mangolo Member Joined Oct 30, 2011 Posts 28 Reaction score 11 Dec 9, 2011 #1 wandugu tumshukuru Mungu miaka 50 ya Tanganyika tumekula tujiandae na miaka 50 ya Muungano then kuna miaka 50ya jeshi TZ nchi ya mashereeee
wandugu tumshukuru Mungu miaka 50 ya Tanganyika tumekula tujiandae na miaka 50 ya Muungano then kuna miaka 50ya jeshi TZ nchi ya mashereeee
G Graucho Member Joined Nov 14, 2011 Posts 53 Reaction score 4 Dec 9, 2011 #2 kweli sie ni wajuzi wa sherehe, ukitaka kujua uliza kiasi cha pesa kilichotumika kuandaa hii sherehe..wakati wafanyakazi tunalia hatujapata mshahara..hiyo ni miaka 50 ya mafisadi wanaofaidi hii nchi...
kweli sie ni wajuzi wa sherehe, ukitaka kujua uliza kiasi cha pesa kilichotumika kuandaa hii sherehe..wakati wafanyakazi tunalia hatujapata mshahara..hiyo ni miaka 50 ya mafisadi wanaofaidi hii nchi...