PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 731
Hii likizo ya corona kwa wanafunzi hasa primary na secondary ni hatari japo haizuiliki.
Kuna watoto wa kike ambao angalulau hubanwa na muda wa shule,kwa sasahivi wapo wanahang sana kiasi ambacho ni rahisi sana kumeet na wakware.Ukipita mitaani utaona vitoto vinajizulurisha ,kweny mageto ya washikaji usiseme,vinachapika sana.
Tutegemee drop out nyingi ,wakati watakaporudi shule ,shule zipime mimba mabint wote.
Wito kwa wazazi,muwe makin sana na watoto wetu,muwape program za kuwabana na si kuwachia kutembelea marafik na.ndugu.
Nanyi vijana wakware,muwahurumiee hawa mabinti,najua mnawingi wa nyimbo za kuwawin ila ,midem kitaa imejaa na viuno vyavkuvunja chaga,tatfuneni hiyo.