N Nsololi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2007 Posts 298 Reaction score 81 Nov 9, 2009 #1 Ni malengo yepi ya maendeleo waliokuwa nayo walipokabidhiwa nchi hii mwaka 1961 Ni yepi kati ya hayo malengo waliokuwa nayo wamefanikiwa kama walivyokuwa wameahidi? Tunaweza kujadiri kwa maeneo kama: Barabara za uhakika za kupitika kwa miezi yote 12 ya mwaka, angalau za kuunganisha mikoa ya TZ Mawasiliano ya uhakika Nishati ya uhakika Mafuta, umeme, gas, n.k. Maji ya uhakika kwa wananchi Usafiri wa uhakika kwa wananchi Elimu ya shule ya msingi ya uhakika Elimu ya shule ya sekondari ya uhakika Elimu ya kiwango cha colleges kwa ngazi zote Sekta ya afya Sekata ya kilimo ya chakula Sekata ya kilimo ya mazao ya biashara Sekta ya viwanda Sekta ya madini Sekta ya uvuvi Sekta ya utalii n.k. Ni katika lipi ambalo chama tawala (TANU/CCM) na w=viongozi wake na watawala wetu wanaweza kusimama vifua mbele na kujisifu kuwa wamefanikiwa????? Attachments Pata Ujumbe - Hujipendi.doc Pata Ujumbe - Hujipendi.doc 296 KB · Views: 96
Ni malengo yepi ya maendeleo waliokuwa nayo walipokabidhiwa nchi hii mwaka 1961 Ni yepi kati ya hayo malengo waliokuwa nayo wamefanikiwa kama walivyokuwa wameahidi? Tunaweza kujadiri kwa maeneo kama: Barabara za uhakika za kupitika kwa miezi yote 12 ya mwaka, angalau za kuunganisha mikoa ya TZ Mawasiliano ya uhakika Nishati ya uhakika Mafuta, umeme, gas, n.k. Maji ya uhakika kwa wananchi Usafiri wa uhakika kwa wananchi Elimu ya shule ya msingi ya uhakika Elimu ya shule ya sekondari ya uhakika Elimu ya kiwango cha colleges kwa ngazi zote Sekta ya afya Sekata ya kilimo ya chakula Sekata ya kilimo ya mazao ya biashara Sekta ya viwanda Sekta ya madini Sekta ya uvuvi Sekta ya utalii n.k. Ni katika lipi ambalo chama tawala (TANU/CCM) na w=viongozi wake na watawala wetu wanaweza kusimama vifua mbele na kujisifu kuwa wamefanikiwa?????