KAUZUDAGAA
Member
- Sep 24, 2012
- 36
- 4
Kwa mwaka ujao 2016 kuna uwezekano wa kutoa ajira mwezi wa ngapi au ndo ajira hakuna kabisa? Kama una mawazo yeyote karibu tufahamishane.
Ajira hakuna kabisa mwaka huu walimu waliajiriwakisiasa tu lakini nafasi za ajira serikalini zimeisha au zipo chache sana.
Kikwete kwenye mei mosi alisema ajira serikalini hazipo, serikali imefikia mwisho wa kuajiri. Anza kuwaza mambo mengine sio ajira za serikali hazipo kabisa mkuu.
Labda zitakuwepo kuanzia mwaka 2019 au 2020 maana utakua ni wakati wa uchaguzi.
Kwa sasa subiri ajira viwandani,viwanda kila mkoa na kila wilaya vinakuja kuanzia mwakani mwezi wa kwanza vitakua tayari mtapata ajora.
"Nimesema ajira hakuna,tunashughulika na waliopo kwanza kuwaboreshea maslahi yao ili kazi zifanyike kwa ufanisi"magufuli said
Kwa waalimu wa sayansi hakuna tatizo la ajira, kwa wale was Sana'a watakuwa wanajitahidi kusubiri kidogo!