Tujadiliane: inakuwaje wananchi kususia kujiandikisha imagine kama ccm wako mil 20 wanavyosema inakuwaje nao wamegoma kujitokeza?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kama nakumbuka ccm walifanya unaitwa uhakiki wa wananchama na wakadai wako mil 20 mwaka 2018 na wanatarajia kufika mil 25 mwaka 2019/20 ikiwa na maana kuwa wao pekee tayari ni ushindi.

Kwa mujibu wa Jafo watu waliokadiriwa kujiandikisha hawajafika hata 20% ya raia waliotarajiwa kujiandikisha.

Kwa hesabu za haraka haraka watu wanaotakiwa kujiandikisha ni almost mil 30 kwa idadi hiyo hapo ccm kati ya hao ni almost 75% sasa inamaana hata wale wanaoitwa wana ccm mil 20 wamekimbia kujiandikisha?

Je ni sababu zipi zinawazuia hata wana ccm kujiandikisha?
 
Njaa Kali Mkuu... Njaa... Mtaani njaa haichagui huyu CDM huyu CCM..
The future is so uncertain.
No hope.
MTU aliyepoteza matumaini anaweza hata asioge ...sembuse kwenda jiorodhesha kwenye daftari.
Ni muda sasa Wa JPM na serikali yake kujitafakari.
Lakini LA muhim zaidi kuchunga ULIMI. Lakini pia Muda Wa mapambio sasa ufike mwisho.
 
Kiongozi kuna kitu kwenye Sanaa ya maigizo kinaitwa kutunza kumbukumbu ili usije ukarudia kuigiza kitu ambacho ulishaigiza kwenye filamu zako za zamani

Hapa ccm walikuwa wanajitekenya wenyewe na kisha wanacheka wenyewe

Hapa Tanzania wasio na vyama ndio wengi zaidi ambao wanachukulia wanasiasa wapo kwa ajili ya tumbo

Hao ccm hawafiki hata milioni mbili Tanzania, Ni kikundi cha wachache wanaohadaa Wengine kuwa ccm ni ya watu

Hicho chama mtu mmoja ana nguvu hata ya kutimua kamati kuu yaani cc yote mpaka Halmashauri kuu NEC ana uwezo wa kuitimua yote na hakuna wa kumuuliza

CCM ni genge la walaji na Mafisadi wachache, Wengine ni washika mkia tu na wapiga matarumbeta tu
 
Tatizo ni ssm kuja na majina yao mfukoni..

Sasa washindi wanajulikana tuhangaikie nink..? Tunawasubiri mwakani 2020.
 
Hahaha milioni 20 nchi nzima?! Mbona ndiyo idadi ya watu wa umri kupuga kura nchi nzima?!
Under 18 ni wengi, kuna wagonjwa na wasioweza kufika huk kwenye vituo. Waliofariki pia wengi, sensa yao ya mwaka gani?
 
Note
Kiongozi kuna kitu kwenye Sanaa ya maigizo kinaitwa kutunza kumbukumbu ili usije ukarudia kuigiza kitu ambacho ulishaigiza kwenye filamu zako za zamani

Hapa ccm walikuwa wanajitekenya wenyewe na kisha wanacheka wenyewe

Hapa Tanzania wasio na vyama ndio wengi zaidi ambao wanachukulia wanasiasa wapo kwa ajili ya tumbo

Hao ccm hawafiki hata milioni mbili Tanzania, Ni kikundi cha wachache wanaohadaa Wengine kuwa ccm ni ya watu

Hicho chama mtu mmoja ana nguvu hata ya kutimua kamati kuu yaani cc yote mpaka Halmashauri kuu NEC ana uwezo wa kuitimua yote na hakuna wa kumuuliza

CCM ni genge la walaji na Mafisadi wachache, Wengine ni washika mkia tu na wapiga matarumbeta tu
Noted Sir
 
unajuaje kama wamejiandikisha au lah..
umepita Nchi nzima ukakagua?
tukiachana na ccm nyie chadema mmefikia wapi?
 
Hapo Tanzania maigizo ni mengi sana nimeshachukua maamuzi ya kutokanyaga hapo hadi mwaka 2026
 
Kiongozi kuna kitu kwenye Sanaa ya maigizo kinaitwa kutunza kumbukumbu ili usije ukarudia kuigiza kitu ambacho ulishaigiza kwenye filamu zako za zamani

Hapa ccm walikuwa wanajitekenya wenyewe na kisha wanacheka wenyewe

Hapa Tanzania wasio na vyama ndio wengi zaidi ambao wanachukulia wanasiasa wapo kwa ajili ya tumbo

Hao ccm hawafiki hata milioni mbili Tanzania, Ni kikundi cha wachache wanaohadaa Wengine kuwa ccm ni ya watu

Hicho chama mtu mmoja ana nguvu hata ya kutimua kamati kuu yaani cc yote mpaka Halmashauri kuu NEC ana uwezo wa kuitimua yote na hakuna wa kumuuliza

CCM ni genge la walaji na Mafisadi wachache, Wengine ni washika mkia tu na wapiga matarumbeta tu
Noted
 
Back
Top Bottom