hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 918
- 1,946
Zipo nyingi sana as long as upo tayari kuwa adui wa Jamhuri na polisi.Leo naomba tupeane michongo ya biashara zenye faida ya shilingi kwa shilingi. Yaani ukileta mzigo wa milioni 30, ukimaliza kuuza unapata faida ya milioni 30. (Bila kuzingatia ni muda gani utachukua kumaliza mzigo, pia Ceteris paribus.)
Siyo kweli, cocaine ni sh 1 faida 200!Hata Cocaine ukinunua kwa milioni 30 haupati faida ya milioni 30 baada ya makato ya wanaokulinda utapata milioni 27.
Hata hiyo si mbaya maana ni 0.9 bado kidogo ifike kwenye 1😆😆Hata Cocaine ukinunua kwa milioni 30 haupati faida ya milioni 30 baada ya makato ya wanaokulinda utapata milioni 27.
Zipo mkuu, watu wanaendelea kuzitaja tuwe na subiraKiufupi itoshe kusema hakuna biashara ya hivyo
Duu, kumbe ndio maana watu wanaamua kujihatarishaSiyo kweli, cocaine ni sh 1 faida 200!
Mil 30 unapata 30*200=6b!
Kwamba ulishawahi kufanya biashara zote ukazimalizaKiufupi itoshe kusema hakuna biashara ya hivyo
Asante mkuu, je inahitajika niwe na utaalamu katika hiyo sekta? Au nikiwa tu na vibali stahiki naweza kufanya?Hata Cocaine ukinunua kwa milioni 30 haupati faida ya milioni 30 baada ya makato ya wanaokulinda utapata milioni 27.
Mimi sijui nimesikia tu asante kwa ufafanuzi.Siyo kweli, cocaine ni sh 1 faida 200!
Mil 30 unapata 30*200=6b!
Biashara zenye faida zipo tatizo polisi😅Zipo nyingi sana as long as upo tayari kuwa adui wa Jamhuri na polisi.
Vipi upatikanaji wa vibali vya kutoa nje ya nchi? Kama una idea ya gharama pia pleasekuuza asali kutoa mashambani kuuza nje ya nchi usiende mbali kenya tu apo faida inalingana na mtaji.over
Asante sana mkuu, bonge la idea🙏Real estates kwa maana biashara ya kujenga nyumba za kisasa na kuuza,unaweza kupata hadi mara 2 na nusu ya gharama ulizowekeza kwa maana ujenzi.lets say nyumba ya milioni 100 unaweza kuiuza hadi 250m kawaida!