Tujadili simu hii mpya ya TECNO

I am proudly using TECNO C8, kwa matumizi yangu ya kawaida inakidhi mahitaji yangu.

Kama naweza kutimiza kinachotakiwa kufanyika kwa simu nahitaji nini cha ziada? Hiyo tecno mpya bei gani?
 
Kwa sababu wameamua kuisaidia Afrika kwa budget phones.
Sidhani kama hii bei ni bei halali kwa budget phone.
 
Unajua kwa nn Tanzania ujinga hauishi?... Ni kwa sababu ya watu Kama Hawa.. Mtu kauliza kingine afu unatoa jibu Tofaut kabisa.
Sasa umejuaje kma wote waliopo hapa ni watanzania? Sim gani hata watumiaji wake hawajui makao makuu yake
 
Mnaboa sana yaani kila siku ni sisi tu watu wa tecno kila kukicha sisi tu ila haina ubaya.

NGOJA NIKINUNUA SIMU NAANZISHA THREAD HUMU.
 
Hivi kumbe kuna watu bado wanafikiria kununua techno..
 
Kwan kuna nyimbo mpya ametoa tekno sijaiskia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ