BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Unajua kwa nn Tanzania ujinga hauishi?... Ni kwa sababu ya watu Kama Hawa.. Mtu kauliza kingine afu unatoa jibu Tofaut kabisa.Kuliko ninunue simu ya tecno bora Hiyo hela nikale viepe yai na Mount dew ya baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na watoto wazuri wa pale chuo cha IFM
Dah aise !!Unajua kwa nn Tanzania ujinga hauishi?... Ni kwa sababu ya watu Kama Hawa.. Mtu kauliza kingine afu unatoa jibu Tofaut kabisa.
Kumbe mkuuNi simu nzuri sana internet ipo faster Ram GB 4 camera megapixel 21 ni simu ya hali ya juu sana hongereni techno kwa mapinduzi ya android
Akija huyu ataweka Data mpaka mtamchukia na TECNO zenu [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] Mkwawa na Tecno ni sawa na Magufuli na Sifa za Kijingacc Mkwawa
[emoji23][emoji23][emoji16]Akija huyu ataweka Data mpaka mtamchukia na TECNO zenu [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] Mkwawa na Tecno ni sawa na Magufuli na Sifa za Kijinga
Hahaha achana na Tecno endelea kutumia gulunetiKuliko ninunue simu ya tecno bora Hiyo hela nikale viepe yai na Mount dew ya baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na watoto wazuri wa pale chuo cha IFM
Kweli ni simu nzuri ila matumizi yake ni mwaka mmoja baada ya hapo kila kitu kimechoka betri, camera na speed hamna full ku stack. Simu za tecno sio mbaya ila hazina durability baada ya mwaka inakuwa spana mkononi. Mi natumia huawei mate 7 toka 2014 haijawahi sumbua chochote na nafikiria kununua tena smartphone 2020 (baada ya miaka sita) sio nitumie laki tano kununua simu ya mwaka mmojaNi simu nzuri sana internet ipo faster Ram GB 4 camera megapixel 21 ni simu ya hali ya juu sana hongereni techno kwa mapinduzi ya android
Internet kuwa fasta ni mtandao au aina ya simu? Ina maana iphone7 itakua na speed balaa au?Ni simu nzuri sana internet ipo faster Ram GB 4 camera megapixel 21 ni simu ya hali ya juu sana hongereni techno kwa mapinduzi ya android
Mkuu simu zinabadilika application mara kwa mara kukaa na simu miaka mingi nayo ni kujirudisha nyuma .Kweli ni simu nzuri ila matumizi yake ni mwaka mmoja baada ya hapo kila kitu kimechoka betri, camera na speed hamna full ku stack. Simu za tecno sio mbaya ila hazina durability baada ya mwaka inakuwa spana mkononi. Mi natumia huawei mate 7 toka 2014 haijawahi sumbua chochote na nafikiria kununua tena smartphone 2020 (baada ya miaka sita) sio nitumie laki tano kununua simu ya mwaka mmoja
Na apgrade to new version mkuuMkuu simu zinabadilika application mara kwa mara kukaa na simu miaka mingi nayo ni kujirudisha nyuma .
Wewe mwenyewe hata pink kutengeneza huwezi yaani kichwani zeroNeno tecno tu sio lakutaja kwenye kadamnasi