Simba hata wakibadili uongozi ni sawa na kubadili tako tu, yaani kama ni fimbo tako moja limechapwa sana sasa wanaamua kulisogeza tako lingine ili nalo loambulie maumivu wakati lingine linapumzika.Ile slogan ya nguvu Moja naiona kabisa kuwa haiakisi uhalisia wa timu ya Makolo. Timu inagawanyika kirahisi sana ....Kila mtu yupo tayari kuitisha press conference kuzungumzia timu[emoji23][emoji23]
Yanga Wanaslogani ya "daima mbele...nyuma mwiko lakini kuwaganya ni kazi sana .....Baada ya derby kuahirishwa....waliungana where by Hadi watoto, wazee .....vikongwe kule Mwakaleli walitamka hatuchezi.....
Back to Simba .... Mashabiki na wanachama wanata moo asepe....
Wengine mangungu aondoke wengine body nzima [emoji23]
NB: it's seems Kuna kamfumo kapo pale Simba Jana instigate mivurugano Kwa makolo ....Kila mwaka[emoji23][emoji23]
Kukatoa hako kamfumo ni kazi sana ....it's like ni kama jipu limeota kwenye kichwa Cha mashine.,....ambapo either ukaushe auanfe Kwa doctor View attachment 3403024
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Changamoto humalizwa kwenye meza ya mazungumzo, na watu wenye akili timamu siyo kwa kurusha jiwe gizaniIle slogan ya nguvu Moja naiona kabisa kuwa haiakisi uhalisia wa timu ya Makolo. Timu inagawanyika kirahisi sana ....Kila mtu yupo tayari kuitisha press conference kuzungumzia timu[emoji23][emoji23]
Yanga Wanaslogani ya "daima mbele...nyuma mwiko lakini kuwaganya ni kazi sana .....Baada ya derby kuahirishwa....waliungana where by Hadi watoto, wazee .....vikongwe kule Mwakaleli walitamka hatuchezi.....
Back to Simba .... Mashabiki na wanachama wanata moo asepe....
Wengine mangungu aondoke wengine body nzima [emoji23]
NB: it's seems Kuna kamfumo kapo pale Simba Jana instigate mivurugano Kwa makolo ....Kila mwaka[emoji23][emoji23]
Kukatoa hako kamfumo ni kazi sana ....it's like ni kama jipu limeota kwenye kichwa Cha mashine.,....ambapo either ukaushe auanfe Kwa doctor View attachment 3403024
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mo kila mtu ana muogopa. Umasikini kitu kibaya.wanamparamia mangungu kwa sqbabu kabwela mwenzaoTATIZO KUBWA LA SIMBA NI MO... HAMTAKI KUKUBALI UKWELI HUU...ILA MKIJA KUUKUBALI MMESHACHELEWA.
Wamesahau wakati mangungu anagombea ...walimleta manzoki ...Toka uganda Ili aje kwenye campaignSimba hata wakibadili uongozi ni sawa na kubadili tako tu, yaani kama ni fimbo tako moja limechapwa sana sasa wanaamua kulisogeza tako lingine ili nalo loambulie maumivu wakati lingine linapumzika.
Msimu wa 2023/24 walikuwa na Sligan "Hatumtak8 Mangungu" ikaja 204/25 baada ya maumivu kuwazidi wakaja na slogan ya "Tunajenga Timu", tunawasubiri 2025/26 tuone watakuja na slogan gani, maana hadi sasa bado wanaimba slogan iliyogeuzwa chorus ile ya "Hatumtaki Mangungu"
Sasa hii migawanyiko ....how come mazungumzo yanaweza kutokea?Changamoto humalizwa kwenye meza ya mazungumzo, na watu wenye akili timamu siyo kwa kurusha jiwe gizani
Tutaona mengi pale u-koloni [emoji23][emoji23]"Kuna mtu anajiita mwanaume anasema timu ilipofungwa kanifumania chooni nacheka,naijuliza mimi mwanaume nawezaje kwenda chooni na mwanaume mwenzangu"
By mwenyekiti wa kudumu mangungu.
Na mwamba ni kama tu museveniTATIZO KUBWA LA SIMBA NI MO... HAMTAKI KUKUBALI UKWELI HUU...ILA MKIJA KUUKUBALI MMESHACHELEWA.
Inaonekana Kila mtu ana chawa wake wa kumsemeaMo kila mtu ana muogopa. Umasikini kitu kibaya.wanamparamia mangungu kwa sqbabu kabwela mwenzao
[emoji23][emoji23]Mlikaa miaka 4 uto hamna ubingwa wowote hata kopo la ndondo so hamna kipya hapo
Mangung oasema kuna siku ataongea ukweli wote.Inaonekana Kila mtu ana chawa wake wa kumsemeaView attachment 3403050
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa hii migawanyiko ....how come mazungumzo yanaweza kutokea?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wengine mazungumzo yao yako mezani, (viongozi), lakini wanachama ama wakeleketwa wao mazungumzo yao wanayafanya nyuma ya mikamera ndiyo maana nikasema wanarusha jiwe gizaniSasa hii migawanyiko ....how come mazungumzo yanaweza kutokea?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ila huku tunapoenda sidhani kama itatokea tena ile ya timu moja kuwa bingwa mara nane au tisa mfululizo kama anavyofanya utopolo kuanzia 21/22. Nina imani kuanzia 2031 timu zitakuwa zinabadilishana badilishana ubingwa kama zitakuwa serious kujiimarishaKutesa kwa zamu. Simba ikiimarika Yanga wanadodora kama wakati uleee Yanga anatembeza bakuli Simba alikuwa wa moto
Ni yule Mwandishi wa Ghana wa kwenye mtandao wa X!Ile slogan ya nguvu Moja naiona kabisa kuwa haiakisi uhalisia wa timu ya Makolo. Timu inagawanyika kirahisi sana ....Kila mtu yupo tayari kuitisha press conference kuzungumzia timu[emoji23][emoji23]
Yanga Wanaslogani ya "daima mbele...nyuma mwiko lakini kuwaganya ni kazi sana .....Baada ya derby kuahirishwa....waliungana where by Hadi watoto, wazee .....vikongwe kule Mwakaleli walitamka hatuchezi.....
Back to Simba .... Mashabiki na wanachama wanataka moo asepe....
Wengine mangungu aondoke wengine body nzima [emoji23]
NB: it's seems Kuna kamfumo kapo pale Simba kana instigate mivurugano Kwa makolo ....Kila mwaka[emoji23][emoji23]