Tujadili kuhusu nyumba za serikali

Tujadili kuhusu nyumba za serikali

Amon Mahamba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
399
Reaction score
64
Kupunguza gharama kwa awamu ya 5 ni kurudisha Nyumba zote zilizouzwa kipindi cha awamu ya Tatu na kusababisha watumishi wa Serikali kupangashiwa Nyumba kwa gharama kubwa.

Tujadili kwa Manufaa ya Tanzania yetu
 
Hapa kazi tu unataka jpm apate presha ghafla? Ila hiyo kazi tuwaachie wabunge wa upinzani wakomae nayo! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
We a cha kabisa na ukarabati nilioufanya mtanirudishia hiyo gharama au unaandika tu hujuwi tumetumia sh ngapi kaa kimya kabisa
 
Kupunguza gharama kwa awamu ya 5 ni kurudisha Nyumba zote zilizouzwa kipindi cha awamu ya Tatu na kusababisha watumishi wa Serikali kupangashiwa Nyumba kwa gharama kubwa.

Tujadili kwa Manufaa ya Tanzania yetu

huna cha kujadili toa jipya ....kama kuuza nyumba kwa serikali ni haramu basi shirika la nyumba la taifa lisitishe mpango wa ujenzi na uuzaji wa nyumba za gharama nafuu kwa watanzania
 
Kupunguza gharama kwa awamu ya 5 ni kurudisha Nyumba zote zilizouzwa kipindi cha awamu ya Tatu na kusababisha watumishi wa Serikali kupangashiwa Nyumba kwa gharama kubwa.

Tujadili kwa Manufaa ya Tanzania yetu

unataka kurudisha nyumba au viwanja? mtu kanunua nyumba kwa mil tatu kajenga apartments kwa bil 70, sasa hapo atarudisha nyumba aliyonunua au kiwanja? hizo apartment mtamlipa au nazo zitataifishwa? hao walionunua wamekaa nazo tu kama mandazi? hawaziendelezi? muda mwingine tumia na akili za kwako.
 
Jamaani acheni hilo suala.mi mwenyew nimeuziwa nyumba kubwa isamilo kwa milioni saba tu.kwahiyo ili suala potezeeni tu
 
Back
Top Bottom