Haina tatizo na haijawai kuwa na tatizo na ndio maana ipo sokoni tangu mwaka 2001.
Tatizo ni wagonga vyuma na wafungua nati wa Tanzania, ikija gari yenye mifumo mipya inatumika kama training device (kifaa cha mafunzo).
Kama huamini waulize wapiga nyundo kuhusu injini za D4D [emoji3][emoji3] utasikia hamna kitu mule hazifai.
Saizi unaziona nyingi mtaani xtrail kwakuwa wagonga nyundo wameshaua za kutosha kupata uzoefu wa kuzi mantain. Otherwise X trail is one of the best SUV
Saizi kuna hybrid cars. Uliza mtu hapa usikie, kashifa na matatizo yake yoye hapa ya kubumba.
Oil gani ni recommended?Nissan X-trail haina tatizo kama ukitumia recommend engine oil.sivyo itachemsha Maji.
Gear box oil angalia kwenye stick imeandikwa imaitwa MATIC (japo nayo ina categories kulingana na aina ya gari) bei yake ni about 50,000/- per litre. Ila alternatively kuna Oil inaitwa Atlantic Synthetic (CVT) bei yake si kubwa it is around 80,000/- (4 litres) inamwagwa baada ya km 9,000Oil gani ni recommended?
Ahsante sanaGear box oil angalia kwenye stick imeandikwa imaitwa MATIC (japo nayo ina categories kulingana na aina ya gari) bei yake ni about 50,000/- per litre. Ila alternatively kuna Oil inaitwa Atlantic Synthetic (CVT) bei yake si kubwa it is around 80,000/- (4 litres) inamwagwa baada ya km 9,000
Gear Box oil, inashauriwa Castrol GTX 20W-50 ukuenda PUMA Petrol stations ina range kwenye shs 60,000/- (5 litres) Hii inashauriwa kumwagwa kila baada ya 3,000km. Ukizingatia hayo Engine na Gear Box havitakaa vikupe taabu.
Mkuu unachanganya sana mafile kuna tofaut kubwa sana kati ya engine oil na giabox oilGear box oil angalia kwenye stick imeandikwa imaitwa MATIC (japo nayo ina categories kulingana na aina ya gari) bei yake ni about 50,000/- per litre. Ila alternatively kuna Oil inaitwa Atlantic Synthetic (CVT) bei yake si kubwa it is around 80,000/- (4 litres) inamwagwa baada ya km 9,000
Gear Box oil, inashauriwa Castrol GTX 20W-50 ukuenda PUMA Petrol stations ina range kwenye shs 60,000/- (5 litres) Hii inashauriwa kumwagwa kila baada ya 3,000km. Ukizingatia hayo Engine na Gear Box havitakaa vikupe taabu.