Tujadili kuhusu CSS na HTML hapa

Tujadili kuhusu CSS na HTML hapa

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,819
Siwezi kuelezea sana ila naanza kwa kuwakaribisha madevelop tuanze mijadala..

sito elezea saana Css na Html ni nini ila kama ni mjuzi utakuwa umeshafahamu.
Code:
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<style>
ol {
    background: #ff9999;
    padding: 20px;
}

ul {
    background: #3399ff;
    padding: 20px;
}

ol li {
    background: #ffe5e5;
    padding: 5px;
    margin-left: 35px;
}

ul li {
    background: #cce5ff;
    margin: 5px;
}
</style>
</head>
<body>

<h1>Styling Lists With Colors:</h1>

<ol>
  <li>Coffee</li>
  <li>Tea</li>
  <li>Coca Cola</li>
</ol>

<ul>
  <li>karibuni</li>
  <li>Madevelop</li>
  <li>Nyote</li>
</ul>

</body>
</html>
 
<!DOCTYPE html>
<html>
<header>
<h1>ATTENTION TO ALL DEVELOPERS</h1>
</header>
<body>
<p> ANY ONE WITH A DEEP UNDERSTANDING ON PHP PLEASE GIVE AS A SHORT LESSON</p>

<p>Thank you</p>
</body>
</html>
 
<!DOCTYPE html>
<html lang="en-us">
<head>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1.0">
<style>
.city {
float: left;
margin: 5px;
padding: 15px;
max-width: 300px;
height: 300px;
border: 1px solid black;
}
</style>
</head>
<body>

<h1>Ahsante sana</h1>

<div class="city">
<h2>London</h2>
<p>nipo siti y'a mbele .</p>

</div>
 
<html>
<headr>
<title>ATTENTION TO ALL WEB DEVELOPERS</title>
</header>
<body>
<h2> DON'T CREATE THREAD THIS THIS AGAIN </h2>

<p>Thank you</p>
</body>
</html>
 
HAKUNA NILICHOKIELEWA (herufi kubwa ni kuonesha msisitizo)? Kama ulivyosema hutaelezea nini maana ya Css na Html nimejisikia kutengwa kwakutokua mjuzi katika uwanda huo, lkn nitakuaje mjuzi bila kujuzwa na wajuzi kama nyie!?
Tafadhali tuamshane Kiukweli sio kwa stahili hiyo.

Tuanze alifu! Au moja. Css na Html ni kitu gani? Kinahusu nini? Kwanini? Kivipi?
 
<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<title>Centring Content Example</title>
</head>
<body>
<p>This text is not in the center.</p>
<center>
<p>This text is in the center.</p>
</center>
</body>
</html>
 
HAKUNA NILICHOKIELEWA (herufi kubwa ni kuonesha msisitizo)? Kama ulivyosema hutaelezea nini maana ya Css na Html nimejisikia kutengwa kwakutokua mjuzi katika uwanda huo, lkn nitakuaje mjuzi bila kujuzwa na wajuzi kama nyie!?
Tafadhali tuamshane Kiukweli sio kwa stahili hiyo.

Tuanze alifu! Au moja. Css na Html ni kitu gani? Kinahusu nini? Kwanini? Kivipi?

download vitabu mfano vitabu au vitini vya HTML vp kibao search google HTML basics PDF utapata ndio usomeee
 
Tuandikie program ya java inayo calculate area na perimeter of circle.
//Java program to Calculate Perimeter of a Circle.

import java.util.Scanner;

public class PerimeterCircle {

public static void main(String[] args) {

double radius;
Scanner sc=newScanner(System.in);

// input radius of circle

System.out.print("Enter the Radius of Circle : ");

radius=sc.nextDouble();

// circle parameter is 2 * pie * radius
double Perimeter=2*3.14*radius;

System.out.print("Perimeter of Circle : " + parameter);

}

}
 
HAKUNA NILICHOKIELEWA (herufi kubwa ni kuonesha msisitizo)? Kama ulivyosema hutaelezea nini maana ya Css na Html nimejisikia kutengwa kwakutokua mjuzi katika uwanda huo, lkn nitakuaje mjuzi bila kujuzwa na wajuzi kama nyie!?
Tafadhali tuamshane Kiukweli sio kwa stahili hiyo.

Tuanze alifu! Au moja. Css na Html ni kitu gani? Kinahusu nini? Kwanini? Kivipi?
Sijui nimefikaje huku maaana naona ni chumba la html na Vi nn cjui
 
HAKUNA NILICHOKIELEWA (herufi kubwa ni kuonesha msisitizo)? Kama ulivyosema hutaelezea nini maana ya Css na Html nimejisikia kutengwa kwakutokua mjuzi katika uwanda huo, lkn nitakuaje mjuzi bila kujuzwa na wajuzi kama nyie!?
Tafadhali tuamshane Kiukweli sio kwa stahili hiyo.

Tuanze alifu! Au moja. Css na Html ni kitu gani? Kinahusu nini? Kwanini? Kivipi?
HTML ni lugha inayowezesha mtumiaji kufuata links yaani inawezesha ukibofya link ambayo ipo inafungua kilichomo kwenye hio link.CSS inaweza kurekekebisha muoneka na mpangilio wa taarifa katia ukurasa wako.HTML-HYPERTEXT MARK UP LANGUAGE NA CSS CASCADING STYLE SHEET
 
HTML ni Lugha inayowezesha Browser kuonyesha content za website, wakati CSS ni lugha inayotengeneza mpangilio na muonekano wa content za HTML.

Kwa mfano .
Kwenye HTML uliandika neno ndani ya division tags kama ifuatavyo.

kichwa

sasa formatting zote za neno "kichwa" zitafanyika kwenye properties za div inayoitwa testing. properties hizo zitaandikwa kwenye file la css kwa kuita jina la div "testing" na kuipa sifa zake.

angalia hapa chini mfano wa css

#testing{
text-align:left;
font-family:Sans serif;
font-color;#000;
size:14px;

Back
Top Bottom