Tuition za cha nne 2021

siriyaki

Member
Joined
Feb 21, 2016
Posts
50
Reaction score
48
Wadau Habari?

Msaada wa kujua vituo vya kufundishia Tuition vilivyopo Dar kwa ajili ya manafunzi wanaoingia kidato cha NNE au waliopo kidato cha nne.

Ninandugu hapa katoka kijijini na anatamani kujifunza masomo ya msingi kabla ya kurudi shule.
 
Yupo DSM maeneo yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…