Watu tuna mawazo tofauti sana,wengine wana waza udini,wengine wizi,wengine uzinzi,wengine elimu nk
Sasa nakushauri ikiwa unaweza kuhamisha tuition center yako na kuja hapa Morovian,just 8 dakika kwa kutembea toka Mianzini traffic light/mataa kuna shule ambayo wanafunzi wake wanakuwa tayari wameshaondoka muda wa saa nane,kwa hiyo wewe unaweza kuja kutumia madarasa yake,pia kuna chumba kikubwa ambacho kipo FREE muda wote,hakitumiki na shule.
Halikadhalika kuna ukumbi mkubwa zaidi ya watu 300,ambao pia hutumika kukodishwa kwa shughuli za kijamii kama harusi nk.
Ikiwa utavutiwa nakukarisha kuja kupaona na tuongee zaidi.
Asante sana.