Tuikubali rasimu ya warioba au ya ccm?

Tuikubali rasimu ya warioba au ya ccm?

ansebaluu

Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
21
Reaction score
9
Nimemsikia mbunge wangu Wa ccm akisema Ndiooooooo Kwa nguvu akitaka kura ya wazi. Mimi binafsi kama mpiga kura wake sikubaliani naye. Kwangu naona maslahi yameharibu kila kitu.
 
Hilo swali litadumu hadi mwisho. Ndilo litakalopigiwa kura baada ya bunge hili. Tukubali ya Warioba ambayo imetokana na wananchi au hii ya CCM ambayo inaandikwa kwa mizengwe? Tutachagua!
 
Wakumbushe maccm kuwa hatuwa ya mwisho ni kura ya maoni ya wananchi wa tanganyika na zanzibar kila upande lazima ipite .
Kwa zanzibar warioba anasema wanaotaka serekali 2. Ni chini ya 36% na 60 % wanaotaka mabadiliko .hapo hapo sasa .
Ukifika hapo hapana wazi wala siri ni matakwa ya wananchi Tu.
 
Back
Top Bottom