MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Wadau hebu tufafanuliane juu ya tafsri ya statement hii! Kikatiba/kisheria unapotaka kumsimamisha kazi unafanyaje? Nini tafsiri ya hili neno mbele ya kadamnasi kabla hata ya uchunguzi?
Ni swali tu maana wengi wetu tunafurahia kusikia flani katumbuliwa mbele ya halaiki.Kumwandikia mtu barua kua unamsimamisha kazi hakutoshi? Maana hata kasi waliyonayo maDC na maRC kutumbua majipu hadharani sio ndgo.